Tulonge

Huu ni ukumbi wa kumtwanga Mdau wetu wa wiki maswali,maoni,ushauri,malalamiko,msaada nk .Kazi kwako mdau.

Views: 1307

Replies are closed for this discussion.

Replies to This Discussion

hahahaha alfani subiri ni vute kiti nianze kuyaweka kwa alphebetical order maswali yangu  lol

mkuu alfan mimi naomba unipatie history ya maisha yako, basi
Huu utaratibu mbona unataka kuwaumbua watu
Hhahahahahahaha! Duh kaazi kweli kweli!Sijui nitoke nduki kablamaswali hayajachanganya???
usikimbie mkuu mambo madooooogo hayo ngoja wana maswali wafumuke, utajuta, lkn komaa nao

Duh, aisee mbona unaanza kama kwenye Interview??? hahahahaahha.

Ok ngoja nijaribu nione kama naikumbuka historia yangu;

Mimi nimezaliwa mkoani Singida miaka kadhaa iliyopita nikiwa ni mtoto wa pekee wa kiume kwenye familia ya watoto wanne.Elimu ya msingi na Sekondari O level nimepatia huko huko Singida.A level nimesoma Mazengo Dodoma mwaka  mmoja nikaenda kumaliza Ununio Boys Islamic Dar es Salaam!

Elimu ya chuo nimepatia IFM -Computer Science. Nimeoa na nina watoto wawili Bright na Zahir.

Nadhani nimejibu au nimejaribu kukujibu mkuu wangu Boniface!!

Boniface Msami said:

mkuu alfan mimi naomba unipatie history ya maisha yako, basi
Hee hili Lijambazi litanikoma subiriiiiii
Inamaana umesahau mwaka wa kuzaliwa? Au unadhani tutasahau kukuuliza teh teh teh,taja mwaka bro.

Alfan Mlali said:

Duh, aisee mbona unaanza kama kwenye Interview??? hahahahaahha.

Ok ngoja nijaribu nione kama naikumbuka historia yangu;

Mimi nimezaliwa mkoani Singida miaka kadhaa iliyopita nikiwa ni mtoto wa pekee wa kiume kwenye familia ya watoto wanne.Elimu ya msingi na Sekondari O level nimepatia huko huko Singida.A level nimesoma Mazengo Dodoma mwaka  mmoja nikaenda kumaliza Ununio Boys Islamic Dar es Salaam!

Elimu ya chuo nimepatia IFM -Computer Science. Nimeoa na nina watoto wawili Bright na Zahir.

Nadhani nimejibu au nimejaribu kukujibu mkuu wangu Boniface!!

Boniface Msami said:

mkuu alfan mimi naomba unipatie history ya maisha yako, basi
Hahhahaaa Mchondo hapa hakuna kuumbuana boss,ukizingatia maadili mema yanazingatiwa.

Yassin M Mchondo said:
Huu utaratibu mbona unataka kuwaumbua watu
Alfan una mpango wa kuwa na wake wangapi? Hadi dakika hii unao wangapi?Najua dini yako inaruhusu kuwa na wake wanne.
swali zuri sana hili severin na mie nalisubiria jibu lake...

Severin said:
Alfan una mpango wa kuwa na wake wangapi? Hadi dakika hii unao wangapi?Najua dini yako inaruhusu kuwa na wake wanne.
kaka alfan hebu nambie ktk dunia hii ya raha na karaha ushawahi tumia kilevi au unatumia mpaka sasa?

RSS

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*