Tags:
Replies are closed for this discussion.
Swali zuri sana Agness aka ........ Dismas anajua..lol
Ni kweli kuna janga kubwa la ukimwi ambalo linatishia maisha ya watu wengi sana.Wengi wetu tunajua uwepo wa gonjwa hili na kuchukua hatua za kupambana nalo ila wengi pia wanajua uwepo wake lkn wanaziba masikio na macho na kuamua kujitoa muhanga!!
Ushauri wangu ni huu hapa:
Ni jukumu la kila mmoja wetu kujua afya yake kwa kwenda kupima na kuchukua majibu (wengine huwa wanapima halafu majibu wanakimbia kama Dismas)..Kwa kufanya hivyo tutaweza kuchukua hatua sahihi baada ya majibu.
1. Kama umeathirika utajua ni jinsi gani ya kusihi ili usiambukize wengine na kuchukua hatua zitakazokufanya uishi muda mrefu zaidi.
2 Kama hujaathirika utajua uchukue hatua gani ili kujikinga usipate.
Agnes Nyakunga said:je kaka Alfan ukiangalia sasa hivi tuko katika janga hili kubwa la ukimwi wewe kama wewe huo unatoa elimu gani kwa vijana kuhusu gonjwa hili hatari?
Hahahahahahahahahahaha! Unatafuta nini wewe Severin???
Ok,
1. Yap ni kweli nimewahi kukorofishana na wife mara kadhaa kwa kunihisi vibaya ila tunamanage kueleweshana na ugomvi unakwisha.2. Duh, hili swali gumu halijibiki.
3. Mmmmh, sijui kwa kweli nadahani siku niifanya hivyo ntajua kama inaumma au la..lol
Severin said:
NAOMBA UWE MKWELI JUU YA MAJIBU YA MASWALI HAYA.NINA AMINI WEWE NI MUISLAM WA KWELI.
1. Umewahi kukorofishana na mkeo kwa kukuhisi umetoka nje ya ndoa?
2. Ni kweli umewahi kutoka nje ya ndoa?
3. Roho huwa inauma (unajutia) endapo umetoka nje ya ndoa? Au huwa hujali kitu? kwa nn?
dixon swali hili mbona sikuona kati ya maswali aliyoulizwa anijibu fasta kama anatumia maji ya ugwadu au thoda
Dixon Kaishozi said:Hili swali limejibiwa au? Chaoga hujasikia
chaoga said:kaka alfan hebu nambie ktk dunia hii ya raha na karaha ushawahi tumia kilevi au unatumia mpaka sasa?
hahahahahaha safi sana nitafute nikupigishe ulabu!!!
KUNAMBI Jr said:Alfan ww wangu me wala sikuulizi mkuu sitaki kukuumbua
Asante kwa swali laini Deus;
Ni kweli nina watoto wawili wakiume wote na sina mpango wa kuongeza mwingine hawa wananitosha kabisa!!
DEUSDEDITH KALIBA said:
Kaka Alfan kwenye historia yako umesema mpaka sasa una watoto wawili, je unampango wa kuongeza wengine? kama ni ndio, wangapi?
Hahahahaahahaha.Nilikuwa naomba Mungu usitokee kabisa;
1. Nina miaka 31 nishaaanza kuuaga ujana hivyo.
2. Nina mpango wa kuwa na watoto wawili ila ikitokea kuongeza ntaongeza mmoja tu!
3. Hayo Private ntayajibu private pia hehheheehehe!
Mtemi said:
Alfani sorry sikuwa na net nadhani uliniloga nisiulize miswali haya ni hivi
Una miaka mingapi?
umepanga kuwa na watoto wangapi?
Mengine yanakuja haya ni Private zaidi hahhah haha
Hahahahahaaaaaa aisee hiki kipengele cha "Mdau wa wiki" kinaweza kukuumbua usipokua makini. Alfan ungejichanganya kujibu haya maswali ya Severin ungeweza kusababisha mtengane na mama Zahir haahahhahhaaaa.
Alfan Mlali said:
Hahahahahahahahahahaha! Unatafuta nini wewe Severin???
Ok,
1. Yap ni kweli nimewahi kukorofishana na wife mara kadhaa kwa kunihisi vibaya ila tunamanage kueleweshana na ugomvi unakwisha.2. Duh, hili swali gumu halijibiki.
3. Mmmmh, sijui kwa kweli nadahani siku niifanya hivyo ntajua kama inaumma au la..lol
Severin said:
NAOMBA UWE MKWELI JUU YA MAJIBU YA MASWALI HAYA.NINA AMINI WEWE NI MUISLAM WA KWELI.
1. Umewahi kukorofishana na mkeo kwa kukuhisi umetoka nje ya ndoa?
2. Ni kweli umewahi kutoka nje ya ndoa?
3. Roho huwa inauma (unajutia) endapo umetoka nje ya ndoa? Au huwa hujali kitu? kwa nn?
Hahahahahaaaa wewe Alfan nani huwa anakimbia majibu? Siku moja tutaenda mimi,wewe na Agnes(kama shahidi) halafu tunaenda kupima ukimwi.Hapo tutaona nani atakimbia majibu,na kama wote tukipokea majibu tutaona nani ataangua kilio cha uchungu kama mtoto mdogo teh teh teh.
Alfan Mlali said:
Swali zuri sana Agness aka ........ Dismas anajua..lol
Ni kweli kuna janga kubwa la ukimwi ambalo linatishia maisha ya watu wengi sana.Wengi wetu tunajua uwepo wa gonjwa hili na kuchukua hatua za kupambana nalo ila wengi pia wanajua uwepo wake lkn wanaziba masikio na macho na kuamua kujitoa muhanga!!
Ushauri wangu ni huu hapa:
Ni jukumu la kila mmoja wetu kujua afya yake kwa kwenda kupima na kuchukua majibu (wengine huwa wanapima halafu majibu wanakimbia kama Dismas)..Kwa kufanya hivyo tutaweza kuchukua hatua sahihi baada ya majibu.
1. Kama umeathirika utajua ni jinsi gani ya kusihi ili usiambukize wengine na kuchukua hatua zitakazokufanya uishi muda mrefu zaidi.
2 Kama hujaathirika utajua uchukue hatua gani ili kujikinga usipate.
Agnes Nyakunga said:je kaka Alfan ukiangalia sasa hivi tuko katika janga hili kubwa la ukimwi wewe kama wewe huo unatoa elimu gani kwa vijana kuhusu gonjwa hili hatari?
kaka ngoja nikakulie stimu halufu tarudi lakini jiandae na hasira weka pempeni
Mambo kaka Alfan? Katika nchi nyingi za kiafrica Marais wengi wamekuwa waking'ang'ania madaraka baada ya kushindwa kwenye uchaguzi wa Urais, Je unafikiri Serikali za umoja wa kitaifa ni suluhisho kwa nchi zetu?
© 2022 Created by Tulonge.
Powered by