Tulonge

Huu ni ukumbi wa kumtwanga Mdau wetu wa wiki maswali,maoni,ushauri,malalamiko,msaada nk .Kazi kwako mdau.

Views: 1307

Replies are closed for this discussion.

Replies to This Discussion

Mambo fresh kabisa Deus, nashukurukwa swali lako zuri;

Hakuna kitu nisichokipenda kama hicho,kwanini mtu anangángánia madaraka wakati wananchi hawamtaki??? Hizi serikali za kitaifa kwa kweli ni kiini macho tu kuwadanganya watu kuwa wamekubaliana kumaliza tofauti na hivyo kufanya kazi pamoja.baada ya kuundwa kwa hizo serikali feki bado kunakuwepo na chuki za chinichini baina ya aliyeshinda kihalali akanyimwa ushind na yule aliyegoma kuachia ngazi.Mwisho wa siku hakuna jambo la maana la kimaendeleo litakalofanyika!!

Mimi binafsi naona sio suluhisho kabisa,kinachotakiwa ni nchi husika kuangalia upya katika zao na kuzibadili kama wakiona kuna haja ya kufanya hivyo ili kuondoa tatizo la Marais Kuchakachua Matokeo au kugoma kutoka ikulu. Ni hayo tu na nadhani nimekujibu ipasavyo.


DEUSDEDITH KALIBA said:

Mambo kaka Alfan? Katika nchi nyingi za kiafrica Marais wengi wamekuwa waking'ang'ania madaraka baada ya kushindwa kwenye uchaguzi wa Urais, Je unafikiri Serikali za umoja wa kitaifa ni suluhisho kwa nchi zetu?

Pole kwa kazi ngumu ya kujibu maswali Alfan.Nadhani kwa sasa tutakuwa tumekufahamu vizuri zaidi kutokana na majibu yako. Asanteni wote mlioshiriki kuuliza maswali. Tujiandae kwa mdau wa wiki ajae ambaye atang'aa 'home page' tar 01/02/2011. Tupo pamoja.

RSS

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*