Tags:
Replies are closed for this discussion.
Mkuu Dunda..Hongera sana kwa kuwa mdau wetu wa wiki.
Napenda kufahamu yafuatayo kutoka kwako:
1. Jina lako kamili
2. Umeoa na una watoto wangapi au kama bado lini matarajio yako.
3.Unazungumziaje suala la mgao usiokwisha wa umeme hapa bongo.
4. Kazi gani ambayo ukiipata utaifanya kwa furaha na ufasaha bila kuwa na stress
5.Ungepata nafasi ya kuwa mshauri wa Tulonge, ungeshauri kitu gani kifanyike ili kuongeza uhondo na kuboresha kijiji hiki.
Ni hayo machache kwa sasa,ntarudi tena na awamu ya pili!!
Amani kwako.
Swala linalonipa tabasamu pindi ninapolifikilia ni kuwaona au kuongea na watu wa kwetu
Pili pale siku nilipokuwa naelekea bank na kuona kitita cha pesa kikizagaa bila ya mwenyewe nilipomuuliza mfanyakazi mmoja wa bank akaniambia hizo zitakuwa zako na chukua...nilipomaliza shughuli za kibank na kuondoka njiani alikuja yule dada wa kizungu na kudai tugawane basi nikikumbuka hiyo stor tabasam unijia
ANGELA JULIUS said:
DUNDA SHIKAMOO. HIVI NI SWALA GANI HASA UKIFIKILIA HUWA LINAKUPA TABASAMU USONI MWAKO.
Alfan maswali yako magumu kama ufutuo wa karamu hahahah
1.Jina langu kamili ni Dunda Kebby Mpili
2.Nimeoa mara moja na kuachwa solemba,Nina watoto
3.Kuh mgao hakuna haja ya kupiga kelele tuludi kwenye enzi zetu za kibatali.Na wenye uwezo wanunue geneleta au waweke sola power
4.Kazi ni ufundi au kazi za mikono kutengeneza kitu alafu wanakiona wakakifurahikia au kikifanya kazi vzr ndio namalizia masomo ili nije nyumbani nijiajili mwenyewe na kuachana na hawa wenyeji wetu bila kuwaacha watoto
5.Swala la ushauri mimi ni mshauri wa Tulonge labda la kuongeza ili tusonge tunabidi kuwe kitu kitachowavutia wadau si kwa kuongea kwenye net tuu...Kama kuandaaa kajitamasha nk
Natumai nimejaribu kujibu kama ulivyo uliza
Alfan Mlali said:
Mkuu Dunda..Hongera sana kwa kuwa mdau wetu wa wiki.
Napenda kufahamu yafuatayo kutoka kwako:
1. Jina lako kamili
2. Umeoa na una watoto wangapi au kama bado lini matarajio yako.
3.Unazungumziaje suala la mgao usiokwisha wa umeme hapa bongo.
4. Kazi gani ambayo ukiipata utaifanya kwa furaha na ufasaha bila kuwa na stress
5.Ungepata nafasi ya kuwa mshauri wa Tulonge, ungeshauri kitu gani kifanyike ili kuongeza uhondo na kuboresha kijiji hiki.
Ni hayo machache kwa sasa,ntarudi tena na awamu ya pili!!
Amani kwako.
Ngoja niandae maswali najaaa
1. Unapenda wanawake wenye maumbo gani
2. Unatumia kilevi gani? Unapata faida gani kutumia kilevi hicho?
3. Umetembea na wasichana/wanawake wangapi toka ubalehe?
...Jibu kwanza hayo halafu nitakuja na mengine makali zaidi.
Dunda ni wimbo gani unaupenda kuliko nyimbo zingine? Ni mwanamuziki gani unayempenda kuliko wengine?
A. Michael Jackson, B. Bob Marley, C. Maria Makeba. D Lucky Dube
PamoJah in the name of GOD.
Nyimbo ninazo zipenda ziko nyingi sana lakini kwa kuwa nimeulizwa moja wacha nijibu moja wapo ni ule wa Dr Remmy Ongola(Siku ya kufa wandugu wote kwaheri)
Na wanamusic bila ya hiyana ni Mariam Makeba
Cha the Great said:
Dunda ni wimbo gani unaupenda kuliko nyimbo zingine? Ni mwanamuziki gani unayempenda kuliko wengine?
A. Michael Jackson, B. Bob Marley, C. Maria Makeba. D Lucky Dube
Swali No Moja sijalielewa vzr kuwapenda kivipI?
1.Kama uku ninavyowapenda mimi kwa kweli wote nawapenda na nitazidi kuwapenda haijulishi yuko vp kwani wao nao ni binadam kama binadamu wengine kwangu mimi siwezi kumchagua mwanamke kwa kile alicho nacho,,,,,
2.Situmii aina yoyote ya kilevi
3.Wanawake niliotembea ni wawili
Severin said:
1. Unapenda wanawake wenye maumbo gani
2. Unatumia kilevi gani? Unapata faida gani kutumia kilevi hicho?
3. Umetembea na wasichana/wanawake wangapi toka ubalehe?
...Jibu kwanza hayo halafu nitakuja na mengine makali zaidi.
© 2023 Created by Tulonge.
Powered by