Tulonge

Huu ndiyo uwanja wetu wa kumtwanga maswali,kumpa ushauri,kutoa lalamiko lake kwake,kuomba msaada nk kwa kuzingatia maadili mema.Kazi kwako.

Views: 1344

Replies are closed for this discussion.

Replies to This Discussion

nipo tayari kaka kuyajibu

Alfan Mlali said:
Hongera sana Kaka Damnani kwa kung'aa wiki hii,jiandae
kwa maswali yangu ikibidi ingia maktaba kabisa!!!!!
walaikum salam kaka am prepared

KUNAMBI Jr said:

kwanza salaa alykm, then get prepared.......

hongera Hassan kuwa mdau wa wiki ngoja nijipange nakuja maswali kibao.
kaka Hassan nashukuru kwa kujibu maswali vizuri walau sasa tumekushafahamu ww ni nani,uko wap,na unafanya nn, akhsantu na jazkha allah min kheir amiin inshallah

Kaka hasani nashukuru kwa kuutambua wasifu wako, nimeamini atafutae hachoki, wanasema akichoka kapata lkn mimi nakataa kwamba akichoka kapata, naamini hata akipata ataendelea kutafuta tu, kwa sababu hakuna kutosheka,,,

sasa kaka ninaswali kidogo tu, wewe ni ni mwenyeji wa mombasa yani kenya, hiyo ni africa mashariki nasasa tumeungana afk mashariki yote, sasa ni kitu kimoja, najua huko kenya, maisha yanaendelea kama kawaida,,, mimi ninaswali, sasa nauliza hivi nyoka akijivua gamba, hana sumu? na ukiliona gamba hapo kwenye gamba, hautaenda kwa tahadhali?

Assallaaaaam Allaykum ya sheikh Damnan!Habari ya wewe ,vipi mombasa kwema?Napenda kukupa hongera zangu kwa kuchaguliwa kuwa mdau wa wiki hii natumai tutajifunza mengi kutoka kwako na pia nawe utajua baadh ya mambo kutoka kwetu.Nina maswali machache nataka kupata majibu yake.Unaonekana ni maalim mzuri je umeshaoa wewe? Kama jibu ni ndio una wake wangapi mpaka sasa?Unawatoto wangapi na mkubwa wao ana umri gani.Je katika mchakato wako wa maisha je umefanikiwa kusoma madrassa?Na umehifadhi juzuu ngapi kifuani mwako maalimun wangu?Kama umesoma madrassa je utumia muda kufundisha wengine maneno matukufu ya mw/Mungu?Ni hayo tu kwa leo.

walaikumsalam mimi nimeowa mke moja nina wasichana wanne wa kwanza ana umri wa miaka 25 nina wajuku wanne nimesoma madrasa mpaka juzu ya pili na ninatumia wakati wangu kuwahamasisha wanafunzi wa kislamu katika shule za upili katika wilaya ya taita taveta ninatayarisha kila mwaka function ya kislamu inayohudhuriwa na wanafunzi wa dini zote katika wilaya hiyo na niko katika mbio za kujenga msikiti katika shule ya kenyatta high school huko taita na nishapata mfadhiliriziki matitu said:

Assallaaaaam Allaykum ya sheikh Damnan!Habari ya wewe ,vipi mombasa kwema?Napenda kukupa hongera zangu kwa kuchaguliwa kuwa mdau wa wiki hii natumai tutajifunza mengi kutoka kwako na pia nawe utajua baadh ya mambo kutoka kwetu.Nina maswali machache nataka kupata majibu yake.Unaonekana ni maalim mzuri je umeshaoa wewe? Kama jibu ni ndio una wake wangapi mpaka sasa?Unawatoto wangapi na mkubwa wao ana umri gani.Je katika mchakato wako wa maisha je umefanikiwa kusoma madrassa?Na umehifadhi juzuu ngapi kifuani mwako maalimun wangu?Kama umesoma madrassa je utumia muda kufundisha wengine maneno matukufu ya mw/Mungu?Ni hayo tu kwa leo.

riziki matitu said:

kaka hebu regelea swali lako vizuri sijalielewa

Boniface Msami said:

Kaka hasani nashukuru kwa kuutambua wasifu wako, nimeamini atafutae hachoki, wanasema akichoka kapata lkn mimi nakataa kwamba akichoka kapata, naamini hata akipata ataendelea kutafuta tu, kwa sababu hakuna kutosheka,,,

sasa kaka ninaswali kidogo tu, wewe ni ni mwenyeji wa mombasa yani kenya, hiyo ni africa mashariki nasasa tumeungana afk mashariki yote, sasa ni kitu kimoja, najua huko kenya, maisha yanaendelea kama kawaida,,, mimi ninaswali, sasa nauliza hivi nyoka akijivua gamba, hana sumu? na ukiliona gamba hapo kwenye gamba, hautaenda kwa tahadhali?

nataraji ukisoma katika maswali ya wadau wengine nimelijibu hilo swali kwa ufasaha sana angalia zote kaka

Dixon Kaishozi said:
Hongera kaka.. Swali langu ni moja lakini lina upana mkubwa.. TUELEZE WASIFU WAKO!! Asante.
inshallah tuko pamoja

KUNAMBI Jr said:
kaka Hassan nashukuru kwa kujibu maswali vizuri walau sasa tumekushafahamu ww ni nani,uko wap,na unafanya nn, akhsantu na jazkha allah min kheir amiin inshallah
Nashukuru sheikh Damnan kwa majibu mazuri Allah akuje baraka zake ufanikishe hilo ulilokusudia Insha-Allah.Jazakha llah khyra sheikh.

RSS

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*