Tulonge

Huu ndiyo uwanja wetu wa kumtwanga maswali,kumpa ushauri,kutoa lalamiko lake kwake,kuomba msaada nk kwa kuzingatia maadili mema.Kazi kwako.

Views: 1344

Replies are closed for this discussion.

Replies to This Discussion

Hongera sn kakangu
jina kamili. HASSAN SALEH AHMED DAMNAN
mzaliwa wa. MOMBASA. MKOWA WA PWANI. KENYA                                                                                             naishi. MOMBASA                                                                                                                                                   nina miaka. 50 NIMEOWA NINA WATOTO WANNE WASICHANA NA NINA WAJUKU WANNE                                    ushauri kwa wanakijiji. NI KUMCHA MWENYEZI MUNGU. KUHESHIMU WAZAZI WAKO WAKUBWA WAKO NA KUMHESHIMU KILA UNAYEMWONA AWE MKUBWA AU MDOGO. TUGANE TUWE NA CHAMA CHA AKIBA KWA KUTOWA MICHANGO KILA MWEZI ILI KUSAIDIA WASIOJIWEZA ILI TUPATE BARAKA ZA MAULANA. NA WALE AMBAO HAWAJAOLEWA AU KUOWA MUNGU AWAJALIE NAO WAWE KATIKA JAMII YENYE FAMILIA. NIMEPENDEZWA NA UMOJA USHIRIKIANO NA KUJUWANA.                                                                                   kumshauri bw tulonge. KWANZA NI KUFANYA MKUTANO KILA MWAKA NA UWE UNAFANYWA KWA MIJI TOFAUTI KAMA TANGA DAR MOSHI ARUSHA NA KADHALIKA NA KUCHAGUWA WAWAKILISHI WA TULONGE KILA MAHALI MWISHO NI KUWALETEA HABARI MOTO MOTO.                                                                                                      kitu kilichonikera. HAMNA CHOCHOTE KILICHONIKERA ZAIDI KIJIJI KINANIPA FURAHA MOYONI NA KUNIPA MARAFIKI KILA SIKU WAZURI WENYE UTU NA NIDHAMU MOLA AIPE MAAISHA MAREFU TULONGE NA AIBARIKI NA KUWABARIKI WANACHAMA WOTE                                                                                 
KUNAMBI Jr said:

Maalim Hassan me naomba kufaham yafuatayo

1. majina yako kamili

2.ww ni mzaliwa wa wapi na mwenyeji wa mkoa gani?

3.kwa sasa unaishi wapi?

4.una miaka mingapi na je umeoa na una watoto wangapi?

5.ukipewa fursa ya kutoa ushauri kwa wanakijiji cha tulonge utatoa maoni gani yatakayowafaa kwenye maisha yao,na mazingira wanayoishi kwa ujumla?

5.ni kitu gani hasa kilichokupendeza humu Tulonge mpka ukaamua kujiunga kwenye social network hii?

6.katika kuboresha kijiji cha tulonge ungependa kumshauri nn Mr Tulonge ili afanye katika kuboresha hiki kijiji?

7.ni kitu gani ukikiona humu tulonge kinakukera sana,na ungependa kusema nn juu ya hicho kitu?

 

                             KWA LEO NI HAYO TU.........................................

            Wadhaa salaam.......................

asante dadangu lucie mola akubariki

Lucie said:
Hongera sn kakangu

Dah! Kaka Damnani wasifu wako unatowa funzo kwa mwana kijiji atakaesoma  wasifu huu maana hatakama ilikuwa akate tamaa ya maisha anajikuta ananyanyuka tena na kuanza kujikongoja na kupata matumaini mampya

maana hakuna kisichowezekana  pale kwenye nia ya dhat kutoka moyoni.

Naam nimerudi tena kaka Damnani.

Nashukuru kwa majibu yako uliyojibu maswali ya wanakijiji wengine kwa kweli yameniridhisha kiasi sina cha kuuliza.. Ila napenda kujua yafuatayo:

1. Umeionaje Dar es Salaam na watu wake kipindi ulipokuwa huku?

2. Umezungumzia suala la wanakijiji kuchangia kijiji kwa kutoa pesa kidogo kila mwezi, unadhani jambo hili linatekelezeka?

Ni hayo tu mkuu.

Kaka tulöge nangoja kwa hamu hayo maswali bora yafanane na shule ya chekechea au shukran kwa kunichaguwa mdau wa wiki ni heshima kubwa umenipa mola akubariki kaka
Wazo lako litafanyiwa kazi mkuu

hassan damnan said:
jibu la kwanza,
ushauri wangu kwa wadogo zangu kwanza ni kuhakikisha munamcha mungu pili munaheshimu wazazi wenu wakubwa zenu tatu muwe na moyo wa kizalendo kwa kupendana kama ndugu nne kuwa mkaminifu kwa lolote unalo lifanya tano kujiogezea elimu zaidi sita kuwa na mpagilio wa maisha yako kwa umakinifu na kuwachana kupoteza hela zako hovyo hovyo na kujitahidi kutimiza utakayo fanya swali la PILI. kuhusu masala ya watoto wa mitaani ni ukosefu wa wajibikaji wa wazazi jamii na serikali zetu kwa upande mwengine uchumi umechangia kuenea kwa watoto chokora na pi kuwacha mila na desturi zetu za kiafrika kunchagia kiasi fulani maana kitamaduni hasa mzalendo mkamili hawezi wacha mtoto au watoto wake waende mitaani na kuokota chakula cha mapipani kwa hivyo ni srikali zetu na jamii kwa ujumla ni kutafuta njia ya kuwasaidia kwa kuwapeleka mashuleni na kuwajengea mabweni ya kulala naona hapo tutakuwa tumetimiza kazi ya mola, swali la TATU. ilikuweza kuendeleza mitantadao yetu ya kiasili kwanza ni kuwa na ushirikiano wa kidugu kwa kuwaeleza ndugu na marafiki kuhusu faida ya mitandao yetu na zaidi ni lazima tuwe na moyo wa kupendana kwa kutembeleana na kukutana kila wakati ili kushauriana njia ya kuendeleza mtandao wetu na kuwanzisha akiba kwa bank ambayo kila mwanachama atachangia kila mwezi hata kama ni Tsh 1000/= michango hiyo itaweza kuwasaidia jamii au watoto mayatima au mashule yanayosomewa na wanafunzi wanaotoka kwa jamii maskini mwisho tuwe na umoja wa kizalendo na mola atubariki na kutupa fikra za maendeleo ,
Omary said:
Hongera sana Bro kwa kuwa mdau wetu wa week.
Brather me nimebahatika kukutana na ww pale mombasa kiukweli umenifanya nijivunie kuijuwa mombasa
vizuri kwa kutembelea sehem mbalimbali za mombasa kuliko hata mwenyeji wa mombasa nimejifunza k2 kutoka kwako ww ni m2 wa watu pia una moyo wa kusaidia hupendi kuona m2 anakwama pale ambapo ww unauwezo napo huwa nimwepesi sana kusaidia hongara sana kwa hilo Mungu atakulipa inshaallah.


1 ww unaumli mkubwa kuliko cc wadogozako unatushauli nn? cc vijana wa sasa
2 watoto wa mitaani ni tatizo kubwa sana la hapa nchini kwe2 tz hata na kenya je ww unatoa mchango gani? kwao ama inakugusaje?
3 unafikiri tufanyeje? ili kufanya vijiji vyetu kama tulonge, fotobaraza visiishie hapa vipige ha2wa.
kwa leo naishia hapo nitaludi tena.
Dah!pole sana kwa changamoto za maisha.Una moyo wa kijjasiri sana.Nimejifunza kitu kikubwa sana kutokana na historia yako.

hassan damnan said:

mimi kwa jina kamili naitwa HASSAN SALEH AHMED DAMNAN ni mtoto wa pili kwa tumbo letu na ni mtoto wa kiume wa peke nina dada watano. nilizaliwa mwaka wa 01/05/1960 katika kijiji cha kidunguni likoni wilaya ya mombasa. nilisomea shule ya BOMU PRIMARY SCHOOL mombasa mpaka darasa la saba na sikuweza kuendelea na masomo yangu ilikuwa mwaka wa 1972 hapo ndipo baba yangu mzazi aliaga dunia nikanza mihagaiko kwa sababu baba yangu hakuwa na kitu chochote cha kuweza kurithi nilianza kufanya vibaruwa nikiwa na miaka 13 mpaka mwaka wa 1977 nilienda uganda kufanya kazi mpaka mwaka wa 1979 alipopinduliwa idd amin dada nilirudi kenya nikaenda saudia mwaka wa 1980 kufanya kazi nilinyanyaswa na tajiri na nikagoma kufanya kazi na wenzangu tulifungwa mwezi moja na kuregeshwa kenya sikufa moyo nilirudi tena saudi mwaka wa 1983 nikafanya kazi miaka mitatu nikaona mshahara ni mdogo nikarudi kenya nakufanya kazi mbali mbali mpaka mwaka wa 1993 nilipata kazi na AMERICAN AIR FORCE mombasa base nikafanya kwa mwaka moja base ilifungwa na mola akanijalia kupata kazi kwa chuo kikuu cha nairobi/chuo kikuu cha washington nikiwa driver/logistic officer na ninafanya mpaka sasa niliowa mwaka wa 1985 nimejaliwa wasichana wanne wawili wameolewa na wawili bado wanasoma nimejaliwa na wajuku wanne, ninafanya kazi za kujitolea bila malipo kwa shirika la ST JOHN AMBULANCE kama naibu wa mwenyekiti katika mkowa wa pwani na KENYA SCUOTS kama mweka hazina wa mombasa na mweka hazina wa INTERNATIONAL CAMP SITE MIRITINI huo ndiyo wasifu wangu na maisha yangu mola awabariki nyoteDixon Kaishozi said:

Hongera kaka.. Swali langu ni moja lakini lina upana mkubwa.. TUELEZE WASIFU WAKO!! Asante.
Nimependa mpango wako wakujenga msikiti kaka,hongera.

hassan damnan said:

walaikumsalam mimi nimeowa mke moja nina wasichana wanne wa kwanza ana umri wa miaka 25 nina wajuku wanne nimesoma madrasa mpaka juzu ya pili na ninatumia wakati wangu kuwahamasisha wanafunzi wa kislamu katika shule za upili katika wilaya ya taita taveta ninatayarisha kila mwaka function ya kislamu inayohudhuriwa na wanafunzi wa dini zote katika wilaya hiyo na niko katika mbio za kujenga msikiti katika shule ya kenyatta high school huko taita na nishapata mfadhiliriziki matitu said:

Assallaaaaam Allaykum ya sheikh Damnan!Habari ya wewe ,vipi mombasa kwema?Napenda kukupa hongera zangu kwa kuchaguliwa kuwa mdau wa wiki hii natumai tutajifunza mengi kutoka kwako na pia nawe utajua baadh ya mambo kutoka kwetu.Nina maswali machache nataka kupata majibu yake.Unaonekana ni maalim mzuri je umeshaoa wewe? Kama jibu ni ndio una wake wangapi mpaka sasa?Unawatoto wangapi na mkubwa wao ana umri gani.Je katika mchakato wako wa maisha je umefanikiwa kusoma madrassa?Na umehifadhi juzuu ngapi kifuani mwako maalimun wangu?Kama umesoma madrassa je utumia muda kufundisha wengine maneno matukufu ya mw/Mungu?Ni hayo tu kwa leo.
Kaka wazo lako linafanyiwa kazi.

hassan damnan said:
jina kamili. HASSAN SALEH AHMED DAMNAN
mzaliwa wa. MOMBASA. MKOWA WA PWANI. KENYA                                                                                             naishi. MOMBASA                                                                                                                                                   nina miaka. 50 NIMEOWA NINA WATOTO WANNE WASICHANA NA NINA WAJUKU WANNE                                    ushauri kwa wanakijiji. NI KUMCHA MWENYEZI MUNGU. KUHESHIMU WAZAZI WAKO WAKUBWA WAKO NA KUMHESHIMU KILA UNAYEMWONA AWE MKUBWA AU MDOGO. TUGANE TUWE NA CHAMA CHA AKIBA KWA KUTOWA MICHANGO KILA MWEZI ILI KUSAIDIA WASIOJIWEZA ILI TUPATE BARAKA ZA MAULANA. NA WALE AMBAO HAWAJAOLEWA AU KUOWA MUNGU AWAJALIE NAO WAWE KATIKA JAMII YENYE FAMILIA. NIMEPENDEZWA NA UMOJA USHIRIKIANO NA KUJUWANA.                                                                                   kumshauri bw tulonge. KWANZA NI KUFANYA MKUTANO KILA MWAKA NA UWE UNAFANYWA KWA MIJI TOFAUTI KAMA TANGA DAR MOSHI ARUSHA NA KADHALIKA NA KUCHAGUWA WAWAKILISHI WA TULONGE KILA MAHALI MWISHO NI KUWALETEA HABARI MOTO MOTO.                                                                                                      kitu kilichonikera. HAMNA CHOCHOTE KILICHONIKERA ZAIDI KIJIJI KINANIPA FURAHA MOYONI NA KUNIPA MARAFIKI KILA SIKU WAZURI WENYE UTU NA NIDHAMU MOLA AIPE MAAISHA MAREFU TULONGE NA AIBARIKI NA KUWABARIKI WANACHAMA WOTE                                                                                 
KUNAMBI Jr said:

Maalim Hassan me naomba kufaham yafuatayo

1. majina yako kamili

2.ww ni mzaliwa wa wapi na mwenyeji wa mkoa gani?

3.kwa sasa unaishi wapi?

4.una miaka mingapi na je umeoa na una watoto wangapi?

5.ukipewa fursa ya kutoa ushauri kwa wanakijiji cha tulonge utatoa maoni gani yatakayowafaa kwenye maisha yao,na mazingira wanayoishi kwa ujumla?

5.ni kitu gani hasa kilichokupendeza humu Tulonge mpka ukaamua kujiunga kwenye social network hii?

6.katika kuboresha kijiji cha tulonge ungependa kumshauri nn Mr Tulonge ili afanye katika kuboresha hiki kijiji?

7.ni kitu gani ukikiona humu tulonge kinakukera sana,na ungependa kusema nn juu ya hicho kitu?

 

                             KWA LEO NI HAYO TU.........................................

            Wadhaa salaam.......................

Nashukuru kwa baraka zako kaka. Mimi sidhani kama nina swali mkuu,naona yote yameshaulizwa.

hassan damnan said:
Kaka tulöge nangoja kwa hamu hayo maswali bora yafanane na shule ya chekechea au shukran kwa kunichaguwa mdau wa wiki ni heshima kubwa umenipa mola akubariki kaka

Hongera kaka kwa kuwa mdau wa wiki. Ukiachana na Imani za kidini, binafsi unalichukuliaje swala la kuwa na wake zaidi ya mmoja? ni zuri,au baya? kwa nini?

Ni kweli kwamba mapenzi kushuka kwa mke wa kwanza ndiyo sababu kuu inayo pelekea mwanaume kuamua kuongeza mke/wake wengine?

RSS

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*