Tulonge

Huu ndiyo uwanja wetu wa kumtwanga maswali,kumpa ushauri,kutoa lalamiko lake kwake,kuomba msaada nk kwa kuzingatia maadili mema.Kazi kwako.

Views: 1344

Replies are closed for this discussion.

Replies to This Discussion

kaka severin kuhusu kuwa na mke moja hamna ubaya ila kulingana na maisha tunayoishi hivi sasa ni tofauti na wakati wa wazzee wetu maana kwanza tumewacha kufuata mamrisho ya dini zetu pili tumewacha kufuata tamaduni zetu tatu tuko katika ulimwengu uliyojaa mambo ya kishetani nikisema hivyo namanisha tumekosa kuwa na imani na chuki zimetuja moyoni mwetu badala ya wewe kuwa na mke wa pili ili ufurahie maisha unakuwa ni mtu wa maudhiko kila leo yote hayo ni kukosa kufuata dini na upendo kwa maoni yangu nasema ni afadhali kuwa na mke moja ili uishi kwa amani na furaha kuliko kuwa na wake wawili badala ya kuishi kwa furaha unakuwa na maudhiko na mwisho unapata magonjwa ambayo yalitokana na maudhiko kaka kuwa makini na swala la mke wa pili au utakuta familia yako imesambaratika nataraji utafahamu na kuelewa zaidi uchumi ndiyo huyo unatumaliza ????Severin said:

Hongera kaka kwa kuwa mdau wa wiki. Ukiachana na Imani za kidini, binafsi unalichukuliaje swala la kuwa na wake zaidi ya mmoja? ni zuri,au baya? kwa nini?

Ni kweli kwamba mapenzi kushuka kwa mke wa kwanza ndiyo sababu kuu inayo pelekea mwanaume kuamua kuongeza mke/wake wengine?

hapa kaka imenibidi nikupe kwa ukamilifu masala ya mke zaidi ya moja ili uwelewe vizurihassan damnan said:

asante sana kaka omary waswahili wasema usikate tama ukiwa bado uko hai

Omary said:

Dah! Kaka Damnani wasifu wako unatowa funzo kwa mwana kijiji atakaesoma  wasifu huu maana hatakama ilikuwa akate tamaa ya maisha anajikuta ananyanyuka tena na kuanza kujikongoja na kupata matumaini mampya

maana hakuna kisichowezekana  pale kwenye nia ya dhat kutoka moyoni.

Nashukuru kwa kutuweka wazi juu ya wasifu wako.  Wengi tumejifunza mengi kutokana na yalio kusibu mpaka hapo ulipo, Mungu akubariki, akujalie baraka tele na ufanikishe adhima yako kwa yale yote unayotegemea kuyafanya. Siku njema.

Tulonge said:
Dah!pole sana kwa changamoto za maisha.Una moyo wa kijjasiri sana.Nimejifunza kitu kikubwa sana kutokana na historia yako.

hassan damnan said:

mimi kwa jina kamili naitwa HASSAN SALEH AHMED DAMNAN ni mtoto wa pili kwa tumbo letu na ni mtoto wa kiume wa peke nina dada watano. nilizaliwa mwaka wa 01/05/1960 katika kijiji cha kidunguni likoni wilaya ya mombasa. nilisomea shule ya BOMU PRIMARY SCHOOL mombasa mpaka darasa la saba na sikuweza kuendelea na masomo yangu ilikuwa mwaka wa 1972 hapo ndipo baba yangu mzazi aliaga dunia nikanza mihagaiko kwa sababu baba yangu hakuwa na kitu chochote cha kuweza kurithi nilianza kufanya vibaruwa nikiwa na miaka 13 mpaka mwaka wa 1977 nilienda uganda kufanya kazi mpaka mwaka wa 1979 alipopinduliwa idd amin dada nilirudi kenya nikaenda saudia mwaka wa 1980 kufanya kazi nilinyanyaswa na tajiri na nikagoma kufanya kazi na wenzangu tulifungwa mwezi moja na kuregeshwa kenya sikufa moyo nilirudi tena saudi mwaka wa 1983 nikafanya kazi miaka mitatu nikaona mshahara ni mdogo nikarudi kenya nakufanya kazi mbali mbali mpaka mwaka wa 1993 nilipata kazi na AMERICAN AIR FORCE mombasa base nikafanya kwa mwaka moja base ilifungwa na mola akanijalia kupata kazi kwa chuo kikuu cha nairobi/chuo kikuu cha washington nikiwa driver/logistic officer na ninafanya mpaka sasa niliowa mwaka wa 1985 nimejaliwa wasichana wanne wawili wameolewa na wawili bado wanasoma nimejaliwa na wajuku wanne, ninafanya kazi za kujitolea bila malipo kwa shirika la ST JOHN AMBULANCE kama naibu wa mwenyekiti katika mkowa wa pwani na KENYA SCUOTS kama mweka hazina wa mombasa na mweka hazina wa INTERNATIONAL CAMP SITE MIRITINI huo ndiyo wasifu wangu na maisha yangu mola awabariki nyoteDixon Kaishozi said:

Hongera kaka.. Swali langu ni moja lakini lina upana mkubwa.. TUELEZE WASIFU WAKO!! Asante.

hongera kaka kwa kujibu maswali, kwa umakini zaidi, japo swali langu lilikuwa tofauti kidogo na kushindwa kulielewa lkn, kwa majibu ulioyajibu yanatosha,

siku njema na maisha mema,

nawe ubarikiwe kaka

Boniface Msami said:

hongera kaka kwa kujibu maswali, kwa umakini zaidi, japo swali langu lilikuwa tofauti kidogo na kushindwa kulielewa lkn, kwa majibu ulioyajibu yanatosha,

siku njema na maisha mema,

Assallam Allaykum! Kwa kweli umejitahidi sana kutuweka wazi katika mambo mbalimbali Sheikh Damnan Tunakutakia maisha marefu yenye baraka tele  ili tuendelee kupata mafunzo kutoka kwenu mliokula chumvi nyingi.

walaikum salam kaka riziki nawe mola akubariki na akupe kila la kheri na baraka

riziki matitu said:

Assallam Allaykum! Kwa kweli umejitahidi sana kutuweka wazi katika mambo mbalimbali Sheikh Damnan Tunakutakia maisha marefu yenye baraka tele  ili tuendelee kupata mafunzo kutoka kwenu mliokula chumvi nyingi.

Asante sana kaka Damnan kwa kufanikiwa kuyapangua maswali kwa ufasaha. Pia nawashukuru wadau walioshiriki kuuliza maswali,nadhani kwa sasa tumemfahamu vizuri kaka Damnan zaidi ya mwanzo. Jiandae kumpokea mdau wa wiki atakayeng'aa ukurasa mkuu mwanzoni mwa mwezi wa 6.

RSS

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*