Tulonge

Huu ndiyo uwanja wa kumkung’uta maswali,ushauri,malalamiko mdau wetu wa wiki kwa kuzingatia maadili mema.

Views: 1489

Replies are closed for this discussion.

Replies to This Discussion

naomba kuuliza umri wako kwa sasa ukoje?

 

Hongera kwa kuwa Mdau wa wiki Jane,mimi napenda kukusifia tu kuwa UNA UMBO ZURI SANA.Hivyo kaa chonjo na wanaume waharibifu.Kama una mumeo/boyfriend hakikisha unadumisha uaminifu katika penzi lenu. UKIMWI upo na unaua sanaaaaaaa.

Hongera Jannethy kwa kuchaguliwa kuwa mdau wa wiki!

Mimi nisingependa kukuuliza umri wako, naona hii ni ""personal particulars"" ambazo si busara kuzianika kibarazani kwa usalama wako na mali zako!

Ningependa kuuliza tu ""hobby"" zako?

Chakula ukipendacho na kinywaji?

Mji uupendao na unatokea mji gani Tanzania?

Ni matumaini gani au ndoto gani unatamani iwe ya ukweli katika maisha yako kwa ujumla?

Mwishoni ningependa kukutakia kila la heri na baraka katika shughuli zako za kila siku.
Dada Janne kaa mkao wa kuswalikwa maswali I ill be back soon,ngoja nikaongeze salio tumboni kwanza ili nipate nguvu na uwezo wa kufikiri vizuri.
Dada jane hongera sana kwa kuwa mdau wa wiki. Wala sina maswali ya kukuuliza , ukijibu ya wengine utakuwa umenijibu na mimi. Tuko pamoja
Doh! Leo hapatosh Kunambi kaenda kujinoa akirud Janney utatafuta pakujificha nami nitarud ila kwa sass nawapongeza wzazi wake kwa kukulea kwa mapenzi na kukutunza Mungu awaweke inshallah.
Hongera Jane, je wewe kama msichana unazungumziaje swala zima la wanaume wenye ndoa zao wanaopenda kuchakachua nje ya ndoa zao unawaambiaje?

hongera sana dada kwa kuwa mdau wa wiki, sina mengi sana ya kukuuliza,

 

dada janne, nazani unafahamu kwamba nchi yetu imegubigwa na tatizo la umeme, je kama wewe ungekuwa rais wa nchi ungechukuwa jukumu gani kuhakikisha tatizo hili linapungua kama si kuisha kabisa?

[2]ikiwa baazi ya nchi fulani kukumba na machafuko ya maandamano ya kuwapinga viongozi wao kwa sababu fulanifulani, je wewe ungekuwa wewe ni rais wa nchi mojawapo kwamba wananchi hawakutaki ungefanya nini?

[3]dada ikiwa tanzania ina amani upendo na usikivu, lakini imekumba janga la ufisadi, kwa watu wachache wasio waaminifu katika uongozi wao, je wewe ndio ungekuwa kiongozi wa hao mafisadi ungechukua hatua gani?,

 

NAKUTAKIA SIKU NJEMA DADA J,

jaman nijuavyo mm kuna kitu kinaitwa General Qns na Profession Qns sasa naomba nianze na GQ then ntakuja na PQ Dada Jenny upo naomba nije kama ifuatavyo...................

GQ

1. unaweza kutupatia majina yako kamili?

2.wewe ni mzaliwa wa wapi?

3.una miaka mingapi?

4.je umeoa au umeolewa?usishangae sana hata wanawake wanaoa siku hizi.

5.una watoto wangapi?

6.una penda mwanaume mwenye sifa gani?

7.ulishawahi kutendwa (kuumizwa)ktk mapenzi???na kwa nn?na ulichukua uamuzi gani???

8.unaishi wapi na unajishughulisha na nn?

9.tukio gani ukilikumbuka huwa linakuhuzunisha sana???lisiwe na mabom ya Gmboto lakini ok?

10.kati ya wazazi wawili yupi unamfagilia sana yaani Baba au Mama?

11.unapenda watoto wa jinsia gani kike au kiume ndo wanakuvutia zaidi?na kwa nn?

12.ni starehe gani unaipenda zaidi ya zote?

13.unapenda vyakula vya aina gani?na matunda ya aina gani?

14.je unatumia kilevi cha maji ya ilala kama Mr Chaoga au maji ya mnazi kama Dis???

15.unapenda kujirusha kama dada Joan na Diana?au ww ni mzalendo kama dada Mary wa mkumbo?

 

                                                            PQ

1.umesoma mpaka level gani?

2.ni kazi unaipenda?

3.je unatamani kuolewa na mume msomi kama kaka Kunambi???jamani sijifagilii lkn mm nina PHD ya kuongea.

4.una future gani ya kuendelea na masomo yako?

5.kama ungepata bahati ya kuchagua kijana mtanashati awe mwenza wako ungemchagua nani kati ya hawa???Dis,Omary?Alfani?Chaoga?

 

kwa leo niishie hapo kuna kazi nafanya nikimaliza nakuja na mengne tena,ngoja niyachakachue kwenye Dictionary yangu hapa,nkutakia siku na kazi njema...................

 

wako wa ukwe'eeee K'

 

Duh! jamani huyu Jane anaweza akazimia ghafla akikutana na haya maswali. Mungu akusadie Dada,akupe moyo wa chuma uweze kukabiliana na maswali haya.
Hongera kwa kuwa mdau, unastahili kwa kweli, umeshaolewa?
Dah hawajaksea kukuchagua aisee, unastahili sifa,vipi umeolewa au unamchumba? nimeshakupenda mie jamani

RSS

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*