Tulonge

Huu ndiyo uwanja wa kumkung’uta maswali,ushauri,malalamiko mdau wetu wa wiki kwa kuzingatia maadili mema.

Views: 859

Replies are closed for this discussion.

Replies to This Discussion

Hapana me sio simba ila rafiki yng wa karibu ni SIMBA, laziama nimpe kipaumbele.

chaoga said:
ha ha ha haa kwa nini yanga sasa ndio itakuwa kibonde dada jane kwa nini isiwe simba!!? inaonyesha wewe simba damu kesho mtaipata...

Jannethy William Nganda said:
Kiukwel sina timu hapa Tanzania, lkn YANGA itakuwa kibonde.
ahasante Jane mungu akuongezee zaidi
Nimekupata mkuu! One love!

KUNAMBI Jr said:
Eddy me nataka kujua undani ili hata siku ukiamua kuingia bila miguu usikosee,isije kua ni dada yangu ohoo lazima tuulize mapema au sio?

eddie said:
Naona Jane amekimbia maswali.....hiyo ""interrogation"" hata CIA FBI MOSSAD KGB MI6 wakikusanywa pamoja hawataweza uliza maswali hayo @Kunambi!
Jane asante kwa majibu yako. Uwe na baraka na mafanikio kwa yote. Salimia dogo!!
jane mbona maswali yangu hujanijibu? au mmeshazoea kuulizwa, unaishi wapi? wewe ni nani? umri wako gani? umezaliwa wapi? lzm tubadilike nimekujaribu tu, niangalie muamko wetu unautofauti gani hata, shuleni kuna masomo tofauti tofauti, usizoee somo moja tuu,

Mmmh nahic maswali uliyoniswalika yote nimeyajibu labda la ndoto yngu ni kuwa na company yng ya Graphic,

mji ninaoupenda ni USIMTUPE MTU,kiasili ni wa Mwanza bt kuzaliwa ni Zanzibar,............ kuhusu hobby muziki, kuchat na rafiki,na kusafiri bt co sana. Sijui nmepatia kukujibu? Naimani umeridhika...................
eddie said:

Hongera Jannethy kwa kuchaguliwa kuwa mdau wa wiki!

Mimi nisingependa kukuuliza umri wako, naona hii ni ""personal particulars"" ambazo si busara kuzianika kibarazani kwa usalama wako na mali zako!

Ningependa kuuliza tu ""hobby"" zako?

Chakula ukipendacho na kinywaji?

Mji uupendao na unatokea mji gani Tanzania?

Ni matumaini gani au ndoto gani unatamani iwe ya ukweli katika maisha yako kwa ujumla?

Mwishoni ningependa kukutakia kila la heri na baraka katika shughuli zako za kila siku.
Kwanza namshukuru Muumba kwa kuniumba poa kama mnavyosema...... na pia siri ya kuwa hivi n mazoez kidogo na kuto kulakula ovyooo............Dah natamani kugeuka lkn naogopa maana hapo tu kaka mwil unasisimka je nikigeuka si itakuwa balaaa haaa haa

Severin said:
Nipe siri ya kuwa na umbo zuri kiasi hicho hadi unafanya mwili wangu usisimke kila nikiangalia picha zako. Hizo bastola ni balaa tupu.Hapo bado hujaamua kujifanya kama umesahau kitu halafu ugeuke utupe mgongo uanze kurudi,ukifanya hivyo hapatakaika hapa Tulonge.
Nakujibu usiwe mkali taratibu bac

Boniface Msami said:
jane mbona maswali yangu hujanijibu? au mmeshazoea kuulizwa, unaishi wapi? wewe ni nani? umri wako gani? umezaliwa wapi? lzm tubadilike nimekujaribu tu, niangalie muamko wetu unautofauti gani hata, shuleni kuna masomo tofauti tofauti, usizoee somo moja tuu,

Safi sana una maswal mazur.


1. Ningetafuta ufumbuz haraka sana wa kuagiza wananch wangu watumie umeme wa solar,na ningeangiza haraka sn kutoka nje,zingeuzwa kwa bei chini ili kila mwanchi wangu aweze kununua, na ningeomba msada kwa wafidhili waisaidie nchi yng, kitu kingene ningeruhusu kutumika kwa umeme wa gas ya songas,na makaa ya mawe yalikuwepo nchuchuma,naamini watalamu wapo wengefanya kazi hiyo na tatzo la umeme lingeisha kabsa watu wangesahu vibatari na mishumaa.

2. Nigeachia madaraka mapema tena kabla hawajaanza hayo maandamano ningesema na nga'tuka kama babu kifimbo,heshima itabaki kuwepo.

3. Unajua mafisadi wanajulikana ningewafunga na kuchukua mali zao zirudi serekalini na kwa wananch wanao wanyoya kwa sabab wao ni wahujumu nchi.

 

Asante na wewe pia umefurah sasa nimejib maswal yk.


Boniface Msami said:

hongera sana dada kwa kuwa mdau wa wiki, sina mengi sana ya kukuuliza,

 

dada janne, nazani unafahamu kwamba nchi yetu imegubigwa na tatizo la umeme, je kama wewe ungekuwa rais wa nchi ungechukuwa jukumu gani kuhakikisha tatizo hili linapungua kama si kuisha kabisa?

[2]ikiwa baazi ya nchi fulani kukumba na machafuko ya maandamano ya kuwapinga viongozi wao kwa sababu fulanifulani, je wewe ungekuwa wewe ni rais wa nchi mojawapo kwamba wananchi hawakutaki ungefanya nini?

[3]dada ikiwa tanzania ina amani upendo na usikivu, lakini imekumba janga la ufisadi, kwa watu wachache wasio waaminifu katika uongozi wao, je wewe ndio ungekuwa kiongozi wa hao mafisadi ungechukua hatua gani?,

 

NAKUTAKIA SIKU NJEMA DADA J,

Jane asante sana mimi yale maswali alouliza Kunambi ni almost the same.....nimeridhika na majibu.

Unaonekana ni mtu wa busara sana. Watu kama wewe ndio wanahitajika katika ujenzi wa Taifa.

Nategemea katika muda si mrefu endapo malengo yako ukiyavalia buti utafanikiwa...mimi nakuunga mikono yote na niko tayari kwa kila hali na mali kusaidiana nawe!
Jannethy William Nganda said:

Mmmh nahic maswali uliyoniswalika yote nimeyajibu labda la ndoto yngu ni kuwa na company yng ya Graphic,

mji ninaoupenda ni USIMTUPE MTU,kiasili ni wa Mwanza bt kuzaliwa ni Zanzibar,............ kuhusu hobby muziki, kuchat na rafiki,na kusafiri bt co sana. Sijui nmepatia kukujibu? Naimani umeridhika...................
eddie said:

Hongera Jannethy kwa kuchaguliwa kuwa mdau wa wiki!

Mimi nisingependa kukuuliza umri wako, naona hii ni ""personal particulars"" ambazo si busara kuzianika kibarazani kwa usalama wako na mali zako!

Ningependa kuuliza tu ""hobby"" zako?

Chakula ukipendacho na kinywaji?

Mji uupendao na unatokea mji gani Tanzania?

Ni matumaini gani au ndoto gani unatamani iwe ya ukweli katika maisha yako kwa ujumla?

Mwishoni ningependa kukutakia kila la heri na baraka katika shughuli zako za kila siku.
Mhhh wiki inaisha sijatoa hata neno....no Haileti kabisa...hongera Jannethy...keep it up...usisahau bado nasubiri ugeuke!!..hahahahaha
Mmmh... mimi hapa nikikuuliza maswali tena ntakuwa nakuonea. Ila kama kawaida mimi hupenda kuuliza maswali ya nyongeza kutokana na majibu mazuri ya maswali ya msingi. Naomba nikupongeze tu kwa kuwa mdau wa wiki, na nakuombea nguvu na maarifa ili uweze kujibu MTIHANI wa Kunambi na maswali ya wadau. Mheshimiwa Tulonge, naomba kuwasilisha.

RSS

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*