Tags:
Replies are closed for this discussion.
Napenda kumpongeza Dada Jannethy kwa kujibu maswali kwa ufasaha. Nina hakika kwa sasa tumemfahamu zaidi ya tulivyo mfahamu mwanzo,hii ndiyo sababu kubwa ya kuwa na kipengele cha "Mdau wa wiki". Jiandae kwa kumpokea Mdau wa wiki atakaye kuwa hewani katikati ya mwezi huu (march). Unaweza kuwa wewe.
Asanteni kwa ushiriki wenu.
© 2021 Created by Tulonge.
Powered by