Tulonge

Huu ndiyo uwanja wa kumkung’uta maswali,ushauri,malalamiko mdau wetu wa wiki kwa kuzingatia maadili mema.

Views: 1481

Replies are closed for this discussion.

Replies to This Discussion

Ah... sikuona kumbe mtihani ushaujibu!! Hongera sana kwa kweli. Mie bado bubu, nimeshindwa kukuuliza swali hata moja.
nimependa ulivyo bi dada
Nampa pongezi kwa kufika ngazi hii kwani  anapanda chati katika sever za tulonge.com

Napenda kumpongeza Dada Jannethy kwa kujibu maswali kwa ufasaha. Nina hakika kwa sasa tumemfahamu zaidi ya tulivyo mfahamu mwanzo,hii ndiyo sababu kubwa ya kuwa na kipengele cha "Mdau wa wiki". Jiandae kwa kumpokea Mdau wa wiki atakaye kuwa hewani katikati ya mwezi huu (march). Unaweza kuwa wewe.

 

Asanteni kwa ushiriki wenu.

RSS

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*