Tulonge

Huu ni ukumbi wa kumtwanga Mdau wetu wa wiki maswali,maoni,ushauri,malalamiko,msaada nk .Kazi kwako mdau.

Views: 599

Replies are closed for this discussion.

Replies to This Discussion

Ndugu yangu nakuonea huruma sana,lazima nikukung'ute maswali hadi ukome.Nitarudi
Alaaah... na mimi nitarudi badae

ok Michael!

just tell me about yourself.

cheers

hahaha kiendacho kwa mganga hakirudi, usimpige mamba na mto hujaovuka am taking my breath
Doh! kk kila mla cha mwenzie na chake pia huliwa ngoja nirud nikuswalike.
leo kiama changu kimefika cha humu tulonge,najua watu wana hasira na mm, ngoja niende course mapema maana miswali itakayo fumuka huko mungu ndo anajua................................eeeh mungu baba uliye mbinguni nipe ujasiri na nguvu za ziada za kukabiliana na hili balaaa la  miswali ameeeeeen! haya am ready who z the 1st????
@David hujauliza swali hapo.....................

Hello K mambo niaje?

swali langu ni kuhusu milipuko ya mabomu jana ucku je wewe imekuathiri kwa kiasi gani?

thanx for ur qn dada Majoy but ki ukweli mm siko karibu na milipuko hiyo, ni southern region huku nakula raha na watoto wa kimakonde, but imeniathiri coz kuna ndugu zangu wengi wanaiishi maeneo hayo wameathirika kiasi fulani, kuna ng'ombe wa sister ametoweka wakati wa purukushani hizo na mpaka sasa hajulikani alipo.........ukimuona pls mpigie cm mr tulonge thn atanipa taarifa.......hope nimekujibu

mmh asante kwa majibu ila sidhani kama kuna mtu atakua anatilia maanani hata kama akikutana na kundi la mifugo barabarani japokuwa na wao ni viumbe lakini kipaumbele kimewekwa kwa binadamu zaidi.

kila la kheri huko uliko.

umesomeka mama, lkn nao wanapaswa kuishi kama haki zinavyowalinda

maombi uliomba kweli yanafanya kazi coz sioni m2 wa kukuswalika me mwenywe nilikuwa nayo lukuki

bt yote umenisahaulisha  doh! kweli we ni noma

lakini siishii hapa

1 wewe ni mzaliwa wa wapi? i mean kabila gani?

2 umeoa? na watt wangapi?

3unaishije? mjini je unatumia maji ya ilala?

4 unaileaje? family yako? namaanisha una muda wa kukaa na watoto wako? na kujuwa tabia ya kila mtt?

5 ww ni m2 wa aina gani? unafikiri wa2 wanakuchuliaje? ua wanakusemaje?

6 ni wa2 wa aina gani unapenda kubadilishana nao mawazo? baada ya kazi wazee? vijana?

7 je unafikiri pombe au vileo vinaweza kumfanya m2 asiwe na maamuzi sahihi?

8 je nikweli pombe inasababisha maambukizi ya HIV? nikimaanisha m2 akinywa pombe inamshawishi kufanya ngono zembe?.

kwa leo naishia hapo nikikumbuka tena nakujia hata kwa mguu.

 

 

 

RSS

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*