Tags:
Replies are closed for this discussion.
mkuu Ommy asante kwa maswali yako nami naanza kuyajibu kama ifuatavyo.......................
1. Umewahi kufumaniwa na mke wa mtu?
2. Umewahi pata watoto kabla ya ndoa? Unajisikiaje kupata watoto kabla ya ndoa ikiwa wewe ni muislam safi.
dada Moreen haya maswali ni ya kiuchokozi unataka nijibu ili unipe chini nn???
haya..............
1.sijawahi kufumaniwa na mke wa mtu na wala sijawahi tembea na mke wa mtu.........................
2.sijawahi pata watoto nje ya ndoa wote ni kwa mipangilio maalum....
mkuu novati kwa tamaduni za kudunia hakuna mwanaume hata kama ameoa halafu asitongoze hiyo haipo wanaume wote ndo tuko hivyo..............kwa hiyo hata mm natongoza ila vitendo sifanyi ni kutongoza tu then basi.
Thanks Bro nimerizishwa na majibu yako ila swali 1 tu la mwisho if unatongoza bila vitendo y? utongoze?
nikipi kinakupa msukumo wa kutongoza? or unatongoza ili iweje? samahani kwa maswali magumu tena ya ndani bt Mr Tulonge katupa uhuru wa kuswalika pale unapoona kuna haja ya kuuliza kwa faida ya wa africa wanaojuwa kiswahili.
© 2022 Created by Tulonge.
Powered by