Tulonge

Huu ni ukumbi wa kumtwanga Mdau wetu wa wiki maswali,maoni,ushauri,malalamiko,msaada nk .Kazi kwako mdau.

Views: 565

Replies are closed for this discussion.

Replies to This Discussion

Unampenda mwanamke mwenye sifa zipi kwa umbo na tabia??
Lini umepima ukimwi kwa mara ya mwisho?Matokeo yamelikuaje? Una mpango wa kupima ukimwi tena?

Ninaamini wewe unaiamini dini yako kikamilifu,na unafahamu kuwa UONGO ni dhambi. Tunaomba utuambie, umewahi kushiriki kutoa mimba ulizowapachika wasichana mara ngapi?

Kuwa mkweli Kunambi,uongo wako ndo utazidi kukuzidishia dhambi mara dufu.

Hongera kuwa mdau wa wiki. Kunambi hivi watoto wako wana umri wa miaka mingapi?
kunambi ina maana kaingia mtini!!? wee WAUKAE mwenzangu toka huko mafichoni ujibu makwesheni na maswali ya watu
Eti kaka unawatoto wangapi na umeoa???

kaka kunambi umtanashati sana ktk kuonekana kwako nini siri ya utanashati wako?na je,mkeo na watoto unajitahidi kuwaweka ktk hali nzuri ya kiafya na muonekano mzuri kama wewe?

Ombi,ningeomba utuwekee picha ya watoto na mkeo kama hutajali.

asante kwa swali lako zuuuuuuri dada Belita, mi napenda mwanamke mwenye sifa zifuatazo

1.awe mkarimu na msikivu

2.awe mvumilivu na mcheshi

3.asiwe na majivuno na mwenye tamaa

4.awe mrefu kidogo na sio mfupiiiii

5.bambataa kidogo na figure iliyoonyooka.

6.mpenda watu na anayefata maadili ya dini.Lilian said:
Lini umepima ukimwi kwa mara ya mwisho?Matokeo yamelikuaje? Una mpango wa kupima ukimwi tena?
Dada Lilian me mara mwisho kupima ilikua mwaka 2009 mwezi wa 12, mwezi ambao nilioa, na majibu yalikua safi kabisa, kwa sasa sina mpango wa kwenda kupima tena labda mpaka hapo nitakapotia shaka mwili wangu na afya yangu.

Severin said:

Ninaamini wewe unaiamini dini yako kikamilifu,na unafahamu kuwa UONGO ni dhambi. Tunaomba utuambie, umewahi kushiriki kutoa mimba ulizowapachika wasichana mara ngapi?

Kuwa mkweli Kunambi,uongo wako ndo utazidi kukuzidishia dhambi mara dufu.

hah hahah haha kaka severine bwana swali hilo japo ni nyeri lakn jibu lake sijawahi kabisa kufanya kitendo hichoMama Malaika said:
Hongera kuwa mdau wa wiki. Kunambi hivi watoto wako wana umri wa miaka mingapi?
asante mama malaika, watoto wangu mmoja ana miaka miwili wa kike na mwingne miaka 6 wa kiume.

chaoga said:
kunambi ina maana kaingia mtini!!? wee WAUKAE mwenzangu toka huko mafichoni ujibu makwesheni na maswali ya watu
mkuu mbona nimejibu nipo mwana wa ukae..........

RSS

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*