Tulonge

Huu ni ukumbi wa kumtwanga Mdau wetu wa wiki maswali,maoni,ushauri,malalamiko,msaada nk .Kazi kwako mdau.

Views: 1209

Replies are closed for this discussion.

Replies to This DiscussionMtemi said:
Eti kaka unawatoto wangapi na umeoa???
Mr Mtemi nina watoto wawili na nina mke mkuu.


Mary wa mkumbo said:

kaka kunambi umtanashati sana ktk kuonekana kwako nini siri ya utanashati wako?na je,mkeo na watoto unajitahidi kuwaweka ktk hali nzuri ya kiafya na muonekano mzuri kama wewe?

Ombi,ningeomba utuwekee picha ya watoto na mkeo kama hutajali.

 

 dada Mary nashukuru kwa misifa yako na nimeipokea kwa mikono miwili picha ya mtoto wangu wa kike ipo na nitaweka ya mtoto wangu wa kiume pia nashukuru kwa ushauri wako....

watoto wangu na mke wangu wote wako poa sana na ninawajali kama ninavyojijali mwenyewe na ninawapenda sana, kama uatatizama vizuri picha yangu ya profile kwa mbaaali utaona watoto wanagombea makande aliyevaa pull neck nyekundu ndo wa kike na picha za wengne naziweka sasa hivi.

Chaoga sijaona swali lako mkuu.


Omary said:

Thanks Bro nimerizishwa na majibu yako ila swali 1 tu la mwisho if unatongoza bila vitendo y? utongoze?

nikipi kinakupa msukumo wa kutongoza? or unatongoza ili iweje? samahani kwa maswali magumu tena ya ndani bt Mr Tulonge katupa uhuru wa kuswalika pale unapoona kuna haja ya kuuliza kwa faida ya wa africa wanaojuwa kiswahili.

 

Kaka Ommy  kuna msemo usemao "mwenye asili haachi asili na akiacha asili hana akili" sasa hilo lisikutishe sana, kutongoza kuko kwa aina nyingi sana...............lkn kibaya zaidi dada zetu nao wamezidi now days wako more than open japo wanashindwa kusema kw a maneno but vitendo vyao vinapnyesha kila kitu nadhan mpaka hapo umenisoma.................kama hujaelewa mwambie Mr Chaoga atakujuza zaidi

Nawashukuru sana wadau wote kwa kushiriki kumtwanga maswali Bw.Kunambi.Nadhani kupitia maswali hayo tutakuwa tumemfahamu vizuri zaidi ya mwanzo. Jiandae kumuona mdau wa wiki mwingine tarehe 1/03/2011.Asanteni sana

RSS

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*