Huu ndiyo uwanja wa kumkung’uta maswali,ushauri,malalamiko mdau wetu wa wiki kwa kuzingatia maadili mema.
Tags:
Replies are closed for this discussion.
Hongera sna Da Latifa naomba kuulize tu Umeolewa na una watoto?
Hobbie yako ni nini
Unapenda namba ngapi kuanzia 1 mpka 10 na kwanini?
unapenda chakula gani?
Unaamka saa ngapi na unalala saa ngapi?
Je unauchukuliaje ugonjwa wa Kansa?
thanx nitashukuru kwa majibu my dia
Dah! leo tumekubamba ngoja niyafute maswali yangu hm nikirudi mwenyewe utachimba nitakuswalika
mpaka usahau majibu.
mashaallah bint umependeza, kwa ss ningependa kujuwa machache 2 ag?,unatumia nn? kuitunza ngozi yako? maana ni african rangi halisi napenda hiyo, niki2 gani huwa kinakukera kupita kias? na niki2 kani huwa kinakufurahisha kupita maelezo? unapokereka huwa unafanya nn? je unatabia ya kumhukumu mwengine kwa maudhi ya m2 mwengine? ni ki2 gani kilikifurahisha kupita siku zote? na niki2 gani kilikukera kuliko siku zote?
ni ki2 gani hukipendi kwa wanaume? na unapenda nn kwa wanaume?
ni ki2 gani usichokipenda kwa wanawake wenzio? na nn unapenda toka kwao
kwa leo naishia hapo
ushauri huhitaji kwenda kwa mchina.
mashaallah bint umependeza, kwa ss ningependa kujuwa machache 2 ag?,unatumia nn? kuitunza ngozi yako? maana ni african rangi halisi napenda hiyo, niki2 gani huwa kinakukera kupita kias? na niki2 kani huwa kinakufurahisha kupita maelezo? unapokereka huwa unafanya nn? je unatabia ya kumhukumu mwengine kwa maudhi ya m2 mwengine? ni ki2 gani kilikifurahisha kupita siku zote? na niki2 gani kilikukera kuliko siku zote?
ni ki2 gani hukipendi kwa wanaume? na unapenda nn kwa wanaume?
ni ki2 gani usichokipenda kwa wanawake wenzio? na nn unapenda toka kwao
kwa leo naishia hapo
ushauri huhitaji kwenda kwa mchina.
kweli ni mrembo,ngoja nijieke mkao wa kuuliza maswali latifa.
Ila siku hizi kuna simu zenye doule line mpaka triple line na hata tetraline hakuna haja ya kuwa na cmu nyingiiiiiiii.
Latifa mambo vp........?Tulonge katuambia heshima ichukue mkondo wake, lakini swali hili lifuatalo pia liko ndani
ya......heshima..........Umeolewa? au Una mpenzi? au Una mchumba......?
Haya mengine yatakuja baadae.
Dada Latifa naomba kuanza maswali kama ifuatavyo..............
1.tupe majina yako kamili -Latifa Mohammed Salim
2.wewe ni mzaliwa wa wapi? - ni mzaliwa wa kenya ila ni raia wa tanzania
3.je umeolewa? - no am divorce
4.una watoto wangapi? 1 son 13yrs i daughter 5yrs
5.unaishi wapi? - magomeni morroco hotel
6.umefikia level gani katika elimu - am holding diploma in bussiness adminstration and events management
7.unafanya kazi wapi? - Temporary contract with aurora group of company
8.je unapenda nn katika maisha yako yaani kuna kitu ukikipata kinakupa raha isiyo kifani?
9.je ni siku gani mbaya ambayo hutaisahau maishani mwako? - nilipo mpoteza my son
10. na je ni siku gani nzuri ambayo ilikufurahisha na hutaisahau ktk maisha yako.? - nilipopata mtoto wangu wa kwanza mohammed.
11.chakula gani unakipenda kuliko vyote? - kitheri
12.na ni tunda gani linalo kuvutia machoni na moyoni mwako? - apple
13.kitu gani ukifanyiwa huwa unakasirika na kuchukia moyoni mwako? -uongo na dharau
14.kati ya wazazi wawili yaani baba na mama yupi unampenda zaidi na kwa nn?na yupi humpendi na kwa nn? - lol unataka umjulishe shangazi yako lol ok it my dad couse i grew with him and i also i like my mum too
15.je ulishawahi kutendwa na mpz wako? - no omg!!!
16.unapenda mwanaume mwenye sifa zipi?huenda kaka Dis,omar,aflan na chaoga wanazo so tukakulipia mahari kabisa tehhh its Joks. ok how ever will respect me and be proud of me and love for who am not for what i am.
17.ni nchi gani ktk dunia unayopenda kwenda? --yemen
18.ni kinywaji gani unachotumia? maji ya njano kama mdau chaoga au chimpumu na pingu na anazo penda mkuu Dis? -chocolate milkshake
19.nini haswa hupendi kukiona ktk macho yako. -gun
20.je kama mdau Dis angekupa nafasi ya kuchagua mkaka mtanashati humu kijijini,ungependekeza nani? -unajua binamu nyama ya hamu
21.unapenda music na ni aina gani ya music? -arabic and R&B
22.unapenda kutoka out? kwenda sehemu gani? where i can enjoy with my kids
naomba kwa leo niishie hapo usije ukakimbia kijiji bure
© 2021 Created by Tulonge.
Powered by