Tulonge

Huu ndiyo uwanja wa kumkung’uta maswali,ushauri,malalamiko mdau wetu wa wiki kwa kuzingatia maadili mema.

Views: 1076

Replies are closed for this discussion.

Replies to This Discussion

ok am divorce am in relationship

kadir msuya said:

kweli ni mrembo,ngoja nijieke mkao wa kuuliza maswali latifa.

Ila siku hizi kuna simu zenye doule line mpaka triple line na hata tetraline hakuna haja ya kuwa na cmu nyingiiiiiiii.

Latifa mambo vp........?Tulonge katuambia  heshima ichukue mkondo wake, lakini swali hili lifuatalo pia liko ndani

ya......heshima..........Umeolewa? au Una mpenzi? au Una mchumba......?

Haya mengine yatakuja baadae.

thanks mtemi

ok am divorce and i have 2 kids mohammed 13yrs and twaiba 5yrs

my hobbies - Napenda kusoma novels ya danniel steel , sidney sheldon

my number wow kwa kweli i dont have speacial number

chakula kitheri

niugonjwa wa hatari hasa unanipa wasiwasi coz i lost my aunty and uncle for cancer

 

i hope your satisfied with my answers

Mtemi said:

Hongera sna Da Latifa naomba kuulize tu Umeolewa na una watoto?

Hobbie yako ni nini

Unapenda namba ngapi kuanzia 1 mpka 10 na kwanini?

unapenda chakula gani?

Unaamka saa ngapi na unalala saa ngapi?

Je unauchukuliaje ugonjwa wa Kansa?

thanx nitashukuru kwa majibu my dia

asante omar

kwa kweli natumia sana vitu asili kutunza ngozi yangu kama henna asali maziwa liwa na mchele

mtu anapokuwa muongo na anadharau na kurudia makosa kila siku
my family wananifurahisha sana wapo na mm kwa wakati wote watabu na raha

ok napenda nikiwa na hasira nionge or kupinga kelele au kuondoka niende nje ya mjii au kulala to calm my nervous

no actually akiwa amechangia ndio nitamhukumu

kitu kilichonifurahisha when i become a mum i had my first son

kitu kilichonikasirika when i lost my  second son and my inlaws didnt let me buried my son it painfully!!!

kutojikubali yy ni nani (mwanamke) to be proud to be a mother

naisha magomeni morrocco hotel

no am proud to be african lady
Omary said:

mashaallah bint umependeza, kwa ss ningependa kujuwa machache 2 ag?,unatumia nn? kuitunza ngozi yako? maana ni african rangi halisi napenda hiyo, niki2 gani huwa kinakukera kupita kias? na niki2 kani huwa kinakufurahisha kupita maelezo? unapokereka huwa unafanya nn? je unatabia ya kumhukumu mwengine kwa maudhi ya m2 mwengine? ni ki2 gani kilikifurahisha kupita siku zote? na niki2 gani kilikukera kuliko siku zote?

ni ki2 gani hukipendi kwa wanaume? na unapenda nn kwa wanaume?

ni ki2 gani usichokipenda kwa wanawake wenzio? na nn unapenda toka kwao

kwa leo naishia hapo

ushauri huhitaji kwenda kwa mchina.

 

 

 

 

Bi Latwifa naomba kuuliza maswali machache kama ifuatavyo:

 

1. Umesema kwamba uliwahi kuolewa ukaachika, kipi kilikuwa chanzo cha kuvunjika ndoa yako?

2. Kama ikitokea mwanaume akataka kukuoa,utakubali??

3. Je uko tayari kuolewa na mwanaume mwenye mke na watoto?

4.Kipi kikubwa ulichojifunza kutoka katika ndoa yako ya mwanzo?

5. Unadahani ni sababu zipi zinazosababisha watu kutoka nje ya ndoa zao yaani kusalitiana??

6.Ukibahatika kuolewa tena utaongeza watoto wangapi??

7. Unapenda wanaume wa aina ipi, warefu,wafupi,weupe,weusi,wanene,wembamba,wenye magari???

8. Ungeambiwa uchague mmoja kati ya Dismas na Chaoga awe mume wako ungemchagua nani na kwa sababu gani?

9. Unafikiri kitu gani kiongezwe au nini kifanyike hapa Tulonge ili kuongeza mvuto na burudani kwa wadau?

10. Una maoni gani kuhusu suala la Dowans???

 

Ni hayo tu kwa leo,nikiridhika na majibu sitauliza tena ila nisiporidhika yapo mengine mengi sana,kwahiyo jibu kwa ufasaha na ukweli!!!

 

Ukiambiwa uchague mwanaume ambaye atakuoa,ungechagua mwanaume mwenye muonekano gani wa nje?
Umesema kuwa haupo katika ndoa kwa sasa,je una mpango wowote wa kuolewa?Unaepuka vipi vishawishi vya kimapenzi kwa muda huu ambao hujaolewa? Maana najua kwa kanuni za kislam SIYO ruksa kufanya mapenzi kabla ya ndoa.Au wewe hujali chochote,unachakachuana kwa kwenda mbele teh teh teh.
hi Khalfan

Alfan Mlali said:

Bi Latwifa naomba kuuliza maswali machache kama ifuatavyo:

 

1. Umesema kwamba uliwahi kuolewa ukaachika, kipi kilikuwa chanzo cha kuvunjika ndoa yako? kwakweli ndoa kuvunjika kunatokana na mambo mengi ila naomaba nijibu Rizik yangu imekwisha

2. Kama ikitokea mwanaume akataka kukuoa,utakubali?? - ndio nitakubali

3. Je uko tayari kuolewa na mwanaume mwenye mke na watoto? - kabisa maana hata mia ninao watoto

4.Kipi kikubwa ulichojifunza kutoka katika ndoa yako ya mwanzo? - nikuwa na upendo wa dhati na kuhurumiana na uvumilivu

5. Unadahani ni sababu zipi zinazosababisha watu kutoka nje ya ndoa zao yaani kusalitiana??- tamaa, kutoridhika na kidogo unachopata na kutokinae

6.Ukibahatika kuolewa tena utaongeza watoto wangapi?? - mmoja may be

7. Unapenda wanaume wa aina ipi, warefu,wafupi,weupe,weusi,wanene,wembamba,wenye magari???- nampenda mwanamume atakaye niongoza kwenye mema na kutaka maendeleo ya sisi sote na kunipa heshima na upendo wa dhati

8. Ungeambiwa uchague mmoja kati ya Dismas na Chaoga awe mume wako ungemchagua nani na kwa sababu gani?- sitochangua yoyote kwakuwa ninaye habiby  wangu

9. Unafikiri kitu gani kiongezwe au nini kifanyike hapa Tulonge ili kuongeza mvuto na burudani kwa wadau? - tufanye mashindano ya vitu tafauti, tuwashirikishe family zetu , tuwe na family day

10. Una maoni gani kuhusu suala la Dowans???- omg hilo nitatizo but hapa ni tz watu hawapendi kutumia au kujua haki yake ww utasema hivi next ww ndio wa kwanza usani mtupu

 

Ni hayo tu kwa leo,nikiridhika na majibu sitauliza tena ila nisiporidhika yapo mengine mengi sana,kwahiyo jibu kwa ufasaha na ukweli!!!

 



Belita said:
Ukiambiwa uchague mwanaume ambaye atakuoa,ungechagua mwanaume mwenye muonekano gani wa nje?- mia siangalia mtazamo as apperance mia na mwangalia mmume aneyejuwa majukumu yake, na mwanafamilya , yupo kuwa tarari kuwa baba watoto wangu na upendo wa dhati

thanks severina

ndio ninao mpanga wa kufunga ndoa tena kuwa mwanafamilia

vishawishi vipo hata kama unandoa sio mm tu ambayae sina na pia hata dini nyingine haruhusu kufanya tendo la ndoa kabal hamjafunga ndoa sithani kama hizo dini nyengine niruhusa kufanya tendo la ndoa wakati sio wanandoa

Severin said:

Umesema kuwa haupo katika ndoa kwa sasa,je una mpango wowote wa kuolewa?Unaepuka vipi vishawishi vya kimapenzi kwa muda huu ambao hujaolewa? Maana najua kwa kanuni za kislam SIYO ruksa kufanya mapenzi kabla ya ndoa.Au wewe hujali chochote,unachakachuana kwa kwenda mbele teh teh teh. -
in short LATIFA tell me about your self

thanks david

while am the first daugther of Mr Mohmmed second child in 6 kids, i spent and study in kenya, i have 2 kids which i adowe them so much which am proud to be a mum with my education am not statified i still want to proced with my studies i like to smile alot have fun do shopping using alot of money how to describe my self just smiling girl or a queen without a castle yet

david ngoiya said:

in short LATIFA tell me about your self

Hey!1 mie hata sijui nianzie wapi Latifa!!!    1.   Unalichukuliaje swala la UKEKETAJI?

                                                                   

RSS

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*