Tulonge

Huu ndiyo uwanja wa kumkung’uta maswali,ushauri,malalamiko mdau wetu wa wiki kwa kuzingatia maadili mema.

Views: 1076

Replies are closed for this discussion.

Replies to This Discussion

yaani mie sina hata la kuongeza ila nakupa hongera tu dada latifa kwa kujibu maswali vizuri na hasa ya mdau KUNAMBI maswali yake yamenikosha sana...... lakini aah ahapana bwna wacha nikupe swali la kizushi ETI UKO TAYARI KUOLEWA MITALA YAANI NAMAANISHA KUWA NYUMBA NDOGO AU KUBWA?

mambo vipi mdau wetu?

Honger kwa kuchaguliwa kuwa mdau waleo

unafanya kazi gani mpendwa?

unaishi wapi?

umeolewa?.

Nitashukuru kwa majibu mazuri , Nakutakia kila la kheri

Good day! 

Attachments:
Kwa sasa unaye part-time man?ambaye anakupa raha kwa muda huu hadi utakapo mpata wa kukuoa?
Asante sana wadau kwa kushiriki katika kipengele hiki cha mdau wa wiki.Hongera dada Latifa kwa kujitahidi kujibu maswali vizuri.Nadhani tumemfahamu vizuri zaidi dada Latifa zaidi na tulivyomfahamu mwanzo. Asanteni.

RSS

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*