Tulonge

Huu ndiyo uwanja wa maoni.Unaruhusiwa kumtwanga maswali,kumpa ushauri,kutoa lalamiko lako kwake,kuomba chochote toka kwake nk kwa kuzingatia maadili mema. Kazi kwako.

Views: 1802

Replies are closed for this discussion.

Replies to This Discussion

Mtemi iwapo Mr Tulonge kaamuwa kukuozesha na kati ya mwana kijiji wake ili mahali isiende mbali na tuzidi kukuza kijiji chetu akakupa nafasi umchaguwe mfalme wako hapa kijijini maana tuna wafalme wengi wana sifa uzipendazo haya uwanja ni wako hata kwa utani we tuchagulie unaeona labda ataendana nawe ukiacha vigezo vya ndani kutokana na dini zetu haziruhusu kubanjuka kabla ya ndoa tunapaswa kuheshimu hilo japo tunafanya makosa bila kujijuwa Mungu atusamehe.
jaman natoka kidogo ila narudi sasa hivi,nina hamu nae sana huyu mrembo
Inamaana hilo swali la 1,2 na 3 hujayaona?? Naona umekimbilia swali la 4 na 5. Au unajifanya kipofu. Hutoki hapa hadi uyajibu. Severin muongeze mengine kama unayo.

Mtemi said:

Heeee Severin mambo asante kwa swali lako naomba nilijibu kama ifuatavyo

Huku nilipo ninafanya kazi na kuongeza baadhi ya ujuzi japo kazi hii ni ngumu na inataka moyo (but it worth)

Duh haha hha swala la mume hah hahha bado mapenzi hayachagui bwanaaa ha hahha

Asante nataraji nimejibu swali

Severin said:

Nakumbuka ulikuwa haupatani sana na dada mmoja anaitwa Chery ndani ya kile kijiji kingine. Kuna sababu tofauti nilizowahi kuzisikia kuwa ni chanzo cha ugomvi wenu,sina haja ya kuzitaja kwa sasa.

1) Naomba utuambie nini ilikuwa chanzo cha ugomvi wenu bila kuficha.

2) Mmeshapatana kwa sasa?

3) Kama bado hamjapatana,mna mpango wowote wa kupatana au mtaendelea kuchukiana hadi mfe?

4) Huko unapoishi unafanya kazi au unasoma?

5) Ungependa kuolewa na mtanzania mwenzako au raia wa nchi nyingine?

Mimi ntakupongeza mara baada ya kujibu maswali yangu.....

SWALI...Je huo umri uliotimia ni gemu gani ulilokutana nalo huto lisahau masiahani mwako wapi na nani?

Swali....Je unajua lile kaburi la yule babu yako limefukuliwa pale brbr ili kupisha nyaya za umeme na utanuzi wa barabara?

Sina la zaidi ila ni mimi wako wa kijiji kimoja Sanga Tuntemeke Sanga Almarufuu kama Bobi kwao mlinzi kwetu kitooleoo

Duh Omary nawe leo sitoki haha haa kazi ninayo ifanya ni kutembelea vijijini na kukutana watu wenye matatizo na kuangaia jinsi ya kuwasaidia ikiwa ni kuwapa mtaji au kama hakuna huduma muhimu bas tunaangalia jinsi ya kuwasaidia na tupo chini ya mradi fulani naomba jina nisilitaje na hili shirika lipo hata bongo.

Kwa kweli kazi ni ngumu maana nchi tunazopangiwa unakutana na watu wenye shida mbali mbali na tukijaribu kuwasaidia bado watu wa serikalini wanakula mapande yao yaani acha tu inakera na kuudhi sanaaa.. Mengineo nitarudi baadae.

Omary said:

Samahani Mtemi kama hautajali tunaweza kufaham hiyo mkazi unayoifanya? maana hapa ni sehemu ya kujifunza kuna wanawake wengine wengi hawana ajira kisingizio kazi ngumu ila nilitembelea dodoma nikashangaa wanawake wanabeba zege kwakweli nilifarijika sana nikajikuta nasema kumbe hakuna kinachoshindikana?! so pls nidadavulie kidogo na kama usingependa kuwa bayana ni2pie ka email

sorry kama nitakuwa nimekukwaza kwa kaswali kangu kagumu ila nipe upendeleo me nimeuliza swali 1 tu.

Hhehe heheh humu kila mtu anawake wewe unanitafutia ubaya na wadada lol haha haha maana duh haya bwana namchagua MBONIGABA nasikia anaiibu kweli halafu anaogopa mademu huyuataifa kumchuna

haha hahha Dismas naruhusiwa kumchagua au????
Omary said:

Mtemi iwapo Mr Tulonge kaamuwa kukuozesha na kati ya mwana kijiji wake ili mahali isiende mbali na tuzidi kukuza kijiji chetu akakupa nafasi umchaguwe mfalme wako hapa kijijini maana tuna wafalme wengi wana sifa uzipendazo haya uwanja ni wako hata kwa utani we tuchagulie unaeona labda ataendana nawe ukiacha vigezo vya ndani kutokana na dini zetu haziruhusu kubanjuka kabla ya ndoa tunapaswa kuheshimu hilo japo tunafanya makosa bila kujijuwa Mungu atusamehe.
Hata mie nina hamu sana nawe

KUNAMBI Jr said:
jaman natoka kidogo ila narudi sasa hivi,nina hamu nae sana huyu mrembo
Hehhe heheh oooiiii halafu wewe hahaaaaaaaaaaa

Tulonge said:
Inamaana hilo swali la 1,2 na 3 hujayaona?? Naona umekimbilia swali la 4 na 5. Au unajifanya kipofu. Hutoki hapa hadi uyajibu. Severin muongeze mengine kama unayo.

Mtemi said:

Heeee Severin mambo asante kwa swali lako naomba nilijibu kama ifuatavyo

Huku nilipo ninafanya kazi na kuongeza baadhi ya ujuzi japo kazi hii ni ngumu na inataka moyo (but it worth)

Duh haha hha swala la mume hah hahha bado mapenzi hayachagui bwanaaa ha hahha

Asante nataraji nimejibu swali

Severin said:

Nakumbuka ulikuwa haupatani sana na dada mmoja anaitwa Chery ndani ya kile kijiji kingine. Kuna sababu tofauti nilizowahi kuzisikia kuwa ni chanzo cha ugomvi wenu,sina haja ya kuzitaja kwa sasa.

1) Naomba utuambie nini ilikuwa chanzo cha ugomvi wenu bila kuficha.

2) Mmeshapatana kwa sasa?

3) Kama bado hamjapatana,mna mpango wowote wa kupatana au mtaendelea kuchukiana hadi mfe?

4) Huko unapoishi unafanya kazi au unasoma?

5) Ungependa kuolewa na mtanzania mwenzako au raia wa nchi nyingine?

Kamwene my kaka nashukuru sana kwa maswali yako kabambe!!

Umri huu kwa kweli nimepitia mengi na namshukuru Mungu nimejifunza kutokana na makosa, kitu ambacho sitasahau ni kuondokewa na wazazi wangu kwa kweli hii kitu bado nalia mpaka sasa sidhani kama kitaweza nitoka maishani kuishi bila wazazi ni adhabu kubwa sana, naomba Mungu anipe maisha marefu niweze kukuza watoto wangu....

Zaidi ya hapo namshukuru Mungu kwa kila jambo...

Nilisoma kwa Michuzi juu ya kuamishwa hayo makaburi na namshukuru Mungu shughuli ilikamilika kwa usalama mzuri hahha maana usituchezee Wanyalu tukikasirika mhh anajua mungu...

TUHONGISYE BE!

Dunda said:

Mimi ntakupongeza mara baada ya kujibu maswali yangu.....

SWALI...Je huo umri uliotimia ni gemu gani ulilokutana nalo huto lisahau masiahani mwako wapi na nani?

Swali....Je unajua lile kaburi la yule babu yako limefukuliwa pale brbr ili kupisha nyaya za umeme na utanuzi wa barabara?

Sina la zaidi ila ni mimi wako wa kijiji kimoja Sanga Tuntemeke Sanga Almarufuu kama Bobi kwao mlinzi kwetu kitooleoo

Hahahaaaa... Mtemi umeanza kudanganya watu. Hujaolewa wewe kweli!!!? Nipo sana tu wangu sema shule ndo imeamua kuvaa pensi na inakimbiza mbayaaaa, hata hivo nakaribia kumaliza. I miss you more, siku hizi hata hunitumii link za ile kitu ileeee...

Na kabla sijakuuliza swali lolote naomba uwaambie watu tu ukweli kuhusu ndoa...lol

Asante mdau wetu kwa kujitahidi kujibu maswali japo kuna mengine umeyakwepa. Nadhani kwa sasa tumemfahamu Mtemi vizuri zaidi ya tulivyokuwa tukimfahamu kabla.Jiandae kumpokea mdau mwingine wa wiki katikati ya mwezi huu.

RSS

© 2023   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*