Tulonge

Huu ndiyo uwanja wa maoni.Unaruhusiwa kumtwanga maswali,kumpa ushauri,kutoa lalamiko lako kwake,kuomba chochote toka kwake nk kwa kuzingatia maadili mema. Kazi kwako.

Views: 1752

Replies are closed for this discussion.

Replies to This Discussion

Halo halooooooooooooo! shosti leo unalo.Midume ya humu ilivyo na usongo wa maswali,mbona utakoma.Halafu Kunambi bado hajatokea hapa,lazima akumalize. Ila safi sana,nilikuwa sijawahi kukuona vizuri ila sasa nimekutambua vizuri kupitia picha zako.

-Haya naomba unapenda uolewe na mwanaume mwenye sifa zipi? Kitabia na kimaumbile.

-Tupe historia yako kwa kifupi,toka ulipozaliwa hadi sasa.Usisahau kutaja mwaka wa kuzaliwa.

Nakumbuka ulikuwa haupatani sana na dada mmoja anaitwa Chery ndani ya kile kijiji kingine. Kuna sababu tofauti nilizowahi kuzisikia kuwa ni chanzo cha ugomvi wenu,sina haja ya kuzitaja kwa sasa.

1) Naomba utuambie nini ilikuwa chanzo cha ugomvi wenu bila kuficha.

2) Mmeshapatana kwa sasa?

3) Kama bado hamjapatana,mna mpango wowote wa kupatana au mtaendelea kuchukiana hadi mfe?

4) Huko unapoishi unafanya kazi au unasoma?

5) Ungependa kuolewa na mtanzania mwenzako au raia wa nchi nyingine?

Je Sister unawaza nini juu ya Maisha yako ya Milele............... yaani Utakuwa wapi mwana wa Adamu akirudi Ni hilo tu kwa leo!! BIG uP
Aiseee miswali mbona migumu najibu baadae kidogo
Haaaaa... Mtemi hongera sana kwa kupata nafasi hii lakini nina hasira kweli na wewe. Maswali yangu yanakuja na ni magumu kuliko chuma, labda unihonge ndo nitafikiria kukusamehe.
Hehe hehheh we Dis nawe umeona sasa watu walivyonikomalia haha hahha kwa kukukomesha siombi msamaha kuchapwa bado kupoooo hahhah

Tulonge said:

Jamani naomba mzidishe ugumu wa maswali mara dufu. Hiyo ni adhabu kwake baada ya kunidharau mimi kaka yake kwa kusema kuwa atanichapa baada ya kumuweka mdau wa wiki.Ushahidi huo hapo chini,walikuwa wakichat na Saint Pascal. Mkandamizeni hadi acheuwe.

Mie cheko lako tu Mlali haha haha oooiiiii

Alfan Mlali said:
Hahahahahahahahahah!

Tulonge said:

Jamani naomba mzidishe ugumu wa maswali mara dufu. Hiyo ni adhabu kwake baada ya kunidharau mimi kaka yake kwa kusema kuwa atanichapa baada ya kumuweka mdau wa wiki.Ushahidi huo hapo chini,walikuwa wakicha na Saint Pascal. Mkandamizeni hadi acheuwe.

Belita mamii habari za masiku nimekumiss kweli kweli kama ugali na mrenda ;p;

Haha haha swal lako balaa ngoja nijibu napenda kuolewa na mwanaume rijali atakae weza niliza panapo majambo na kunifanya nijisikie mtu pekee hapa duniani haha haha huyo ndo ninae mtaka bila kusahau awe amekatwa nanihiii hahaaaaaaaaaaaaaaaaa

Swali la pili duh mie kujieleza sijui mwaya ngoja nijaribu

Nimezaliwa miaka ishirini na kitu iliopita nikiwa mtoto wa tano kati ya sita katika familia yetu, nimetanguliwa na madada watatu na kaka mmoja halafu kitinda mimba wetu ni dume...

Nimezaliwa Moshi na kukulia Kigoma, Dar na Morogoro elimu ya awali nimeipata Dar na kigoma nimesoma darasa la kwanza na kuhamia Dar ambapo nimesoma mpaka darasa la sita baada ya hapo nikahamia Morogoro kufuatia kufariki kwa wazazi nikaenda ishi na maza mdogo, nimesoma Morogoro Secondary na Forest hills secondary  hapo nilimalizia elimu ya juu na nina ka degree ka Sociology ambapo kameweza nipa ajira mpaka hapa nilipo.... Hehhe heheh mengineo nitajibu private banaaa hahha hahhhahaBelita said:

Halo halooooooooooooo! shosti leo unalo.Midume ya humu ilivyo na usongo wa maswali,mbona utakoma.Halafu Kunambi bado hajatokea hapa,lazima akumalize. Ila safi sana,nilikuwa sijawahi kukuona vizuri ila sasa nimekutambua vizuri kupitia picha zako.

-Haya naomba unapenda uolewe na mwanaume mwenye sifa zipi? Kitabia na kimaumbile.

-Tupe historia yako kwa kifupi,toka ulipozaliwa hadi sasa.Usisahau kutaja mwaka wa kuzaliwa.

Heeee Severin mambo asante kwa swali lako naomba nilijibu kama ifuatavyo

Huku nilipo ninafanya kazi na kuongeza baadhi ya ujuzi japo kazi hii ni ngumu na inataka moyo (but it worth)

Duh haha hha swala la mume hah hahha bado mapenzi hayachagui bwanaaa ha hahha

Asante nataraji nimejibu swali

Severin said:

Nakumbuka ulikuwa haupatani sana na dada mmoja anaitwa Chery ndani ya kile kijiji kingine. Kuna sababu tofauti nilizowahi kuzisikia kuwa ni chanzo cha ugomvi wenu,sina haja ya kuzitaja kwa sasa.

1) Naomba utuambie nini ilikuwa chanzo cha ugomvi wenu bila kuficha.

2) Mmeshapatana kwa sasa?

3) Kama bado hamjapatana,mna mpango wowote wa kupatana au mtaendelea kuchukiana hadi mfe?

4) Huko unapoishi unafanya kazi au unasoma?

5) Ungependa kuolewa na mtanzania mwenzako au raia wa nchi nyingine?

Lutayo asante kwa swali zuri Maisha yangu yapo ndani ya Yesu na nimezaliwa katika familia inayojua dini.. na ninamtanguliza Mungu kwa kila jambo

Aamen

ubarikiwe sana

Lutamyo J. Kingdom said:

Je Sister unawaza nini juu ya Maisha yako ya Milele............... yaani Utakuwa wapi mwana wa Adamu akirudi Ni hilo tu kwa leo!! BIG uP

Duh we mtu umepotelea wapi nimekumiss sana jamani habari za maisha lakini???

hehhe hehe swali likiwa gumu naingia na mlungula haha hahha

Jorge Novati Rutenge said:

Haaaaa... Mtemi hongera sana kwa kupata nafasi hii lakini nina hasira kweli na wewe. Maswali yangu yanakuja na ni magumu kuliko chuma, labda unihonge ndo nitafikiria kukusamehe.

Samahani Mtemi kama hautajali tunaweza kufaham hiyo mkazi unayoifanya? maana hapa ni sehemu ya kujifunza kuna wanawake wengine wengi hawana ajira kisingizio kazi ngumu ila nilitembelea dodoma nikashangaa wanawake wanabeba zege kwakweli nilifarijika sana nikajikuta nasema kumbe hakuna kinachoshindikana?! so pls nidadavulie kidogo na kama usingependa kuwa bayana ni2pie ka email

sorry kama nitakuwa nimekukwaza kwa kaswali kangu kagumu ila nipe upendeleo me nimeuliza swali 1 tu.

RSS

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*