Tags:
Replies are closed for this discussion.
pongezi mtemi kwa kuwa mdau wa wiki swali langu nataka utueleze kuhusu wewe mwenyewe kwa ukamilifu
swali langu kwako mtemi
1. wewe kabila gani
2. unapendelea nini na unachukia vitu gani
3. unawashauri vipi wanawake wenzetu amabo wamejibweteka hawataki kujishughulisha
ni hayo tu lakini pia nitakuja kivingine
Ahsante
Hongera !! kuteuliwa kwako .
Suali- nini ndoto zako za baadae katika maisha ?
Umejipangia kuzaa wangapi na kwanini upange hivyo.
Haya ujibu utanisaidia .endeleaaaa!
© 2023 Created by Tulonge.
Powered by