Tulonge

Huu ndiyo uwanja wa maoni.Unaruhusiwa kumtwanga maswali,kumpa ushauri,kutoa lalamiko lako kwake,kuomba chochote toka kwake nk kwa kuzingatia maadili mema. Kazi kwako.

Views: 1802

Replies are closed for this discussion.

Replies to This Discussion

Haha haha Chaoga sijajiandaa yani hapa nilipo naogopa kweli kweli sina jibu wala answer hahha haha

chaoga said:
habari yako bana, naomba kufahamu tu kwamba kama ushajitayarisha kujibu makwesheni na maswali nasubiri jibu lako ili nirudi hapa
Sijambo nipo mwaya uliza tu

kadirielly@yahoo.com said:
habari za siku mtemi, upo tayari kwa maswali?

Asante duh hili swali gumu haha haha ngoja nitafute mlungula hahha

naomba tu nisaidie kueleze kwa upande upi haha haha
hassan damnan said:

pongezi mtemi kwa kuwa mdau wa wiki swali langu nataka utueleze kuhusu wewe mwenyewe kwa ukamilifu

 

Hahaha duh Agnes mbona maswali mengi hiviiiii


namba moja kabila mimi ni Mbena kwa upande wa baba na Mnyambo kwa upande wa mama

namba mbili napenda mtu awe mkweli kwangu na nachukia sana uongo sio siri haijalishi rafiki au ndugu.

namba tatu napenda kuwashauri watu wanawake kwa wanaume kwamba tusichague kazi maana hii inapelekea watu wengi kukaa bila kazi na tukumbuke kuwa mtaji wa maskini ni nguvu zake mwenywe...

 

haha hha nasubiria maswali mengine hihihi ihih sorry kama sijajibu vizuri mweeehhhh!!!


Agnes Nyakunga said:

swali langu kwako mtemi

 

1. wewe kabila gani

2. unapendelea nini na unachukia vitu gani

3. unawashauri vipi wanawake wenzetu amabo wamejibweteka hawataki kujishughulisha

 

ni hayo tu lakini pia nitakuja kivingine

 

Ahsante

Asante Babengwa!


Ndoto zangu za maisha ya baadae ni kuwa na familia yenye furaha na amani na niweze kuishi maisha marefu na kuwaona wajukuu zangu..

Nimepanga kuwa na mtoto mmoja katika maisha haijalishi jinsia ipi kutokana na gharama za maisha kuwa juu hii imepelekea mimi kupanga hivi

hihii ihiihi bado sijaanza kutafuta bado lol


Babengwa said:

Hongera !! kuteuliwa kwako .

Suali- nini ndoto zako za baadae katika maisha ?

Umejipangia kuzaa wangapi na kwanini upange hivyo.

 

Haya ujibu utanisaidia .endeleaaaa!

Asante Emmanuel


nipo Peru ( lima) kwa sasa south America
Emmanuel Kibassa said:

Mambo vipi? Hongera sana Mtemi, samahani upo mkoa gani?

Hahha haha Omaryyyyyyyyy njoo nisaidie kujibu mwaya duh maswali kama mtihani wa taifaaaa
Omary said:
Doh! Mtemi usijifiche leo balaa watu wote wanakusubiri kwa hamu haya jisalimishe mwenyewe tukuswalike.
Haha haha halafu ww nimeanza kuogopa lol

Alfan Mlali said:
Hahahahahahahhaa! Dah hongera sana mrembo wetu kwa kuwa Mdau wa  wiki. Ngoja nikajipange nije na maswali ya kizushi!!!
Mkweeee nipo mwaya majukumu tuuu

Saint Pascal of Zanzibar said:
Mi nauliza tu mbona siku izi huonekani? umepotelea wapi?
Hahahahahaaha! Hata ukiogopa maswali ya kizushi nishayaandaaaaa...theteheteehetehete!

Mtemi said:
Haha haha halafu ww nimeanza kuogopa lol

Alfan Mlali said:
Hahahahahahahhaa! Dah hongera sana mrembo wetu kwa kuwa Mdau wa  wiki. Ngoja nikajipange nije na maswali ya kizushi!!!

Jamani naomba mzidishe ugumu wa maswali mara dufu. Hiyo ni adhabu kwake baada ya kunidharau mimi kaka yake kwa kusema kuwa atanichapa baada ya kumuweka mdau wa wiki.Ushahidi huo hapo chini,walikuwa wakichat na Saint Pascal. Mkandamizeni hadi acheuwe.

Hahahahahahahahahah!


Tulonge said:

Jamani naomba mzidishe ugumu wa maswali mara dufu. Hiyo ni adhabu kwake baada ya kunidharau mimi kaka yake kwa kusema kuwa atanichapa baada ya kumuweka mdau wa wiki.Ushahidi huo hapo chini,walikuwa wakicha na Saint Pascal. Mkandamizeni hadi acheuwe.

RSS

© 2023   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*