Tulonge

Huu ndiyo uwanja wa maoni.Unaruhusiwa kumtwanga maswali,kumpa ushauri,kutoa lalamiko lako kwake,kuomba chochote toka kwake nk kwa kuzingatia maadili mema. Kazi kwako.

Views: 1182

Replies are closed for this discussion.

Replies to This Discussion

Huyu mtoto kakimbia nini? Wadau punguzeni hasira,anaweza asirudi tena huyu endapo mtaendelea kuonesha kuwa na usongo nae kiasi hiki.
Hongera sana! Denzil anakuuliza siku hizi umejichimbia wapi?

yap ni mwenyewe kweli

 

Nachukua nafasi hii kukupongeza kwa kuchaguliwa mdau wa week! Mimi sina maswali naona nitakachokuuliza watauliza wengine...naona bora nisi--flood bila sababu!

Kila la heri Mtemi!

Uliza mwaya

saleh mkali baya said:
naomba nikuulize kitu
Halafu wewe una kesi ya kujibu mbona sijapata notification kwenye email yangu duh halafu sijui kujibu maswali nitafeli mtihani mamaaa

Tulonge said:
Huyu mtoto kakimbia nini? Wadau punguzeni hasira,anaweza asirudi tena huyu endapo mtaendelea kuonesha kuwa na usongo nae kiasi hiki.
Mkwe umefufuka??

Mtemi said:
Uliza mwaya

saleh mkali baya said:
naomba nikuulize kitu
Asante sana Eddy Mungu akubariki na weekend njema

eddie said:

Nachukua nafasi hii kukupongeza kwa kuchaguliwa mdau wa week! Mimi sina maswali naona nitakachokuuliza watauliza wengine...naona bora nisi--flood bila sababu!

Kila la heri Mtemi!

Mhh Silas maambo

Silas A. Ntiyamila said:

yap ni mwenyewe kweli

 

Asante nipo mama D majukumu natamani kulia

Mama Malaika said:
Hongera sana! Denzil anakuuliza siku hizi umejichimbia wapi?
Mhh haya naogopa maswali magumu hahha haha mzima lakini Agnes?

Agnes Nyakunga said:
hongera mtemi ngoja nipate nguvu nakuja na maswali yangu
Yaani naogopa maswali hahha nisaidie kujibu hahhaha

Dixon Kaishozi said:
hongera Mtemi.. Hii wiki inakuhusu.. heheeee.. Pumua kwanza.

RSS

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*