MUME:"Nambie ukweli mke wangu,hivi
ushavunja uaminifu wako wa ndoa
mara ngapi?
MKE:"Mara ya kwanza nililala na
mwenye nyumba,sababu alidai kodi
yake"
MUME:"Mmmh...sio mbaya"
MKE:"Mara ya pili ni siku ulipofanyiwa
operation ikawa hakuna pesa ikabidi
nilale na dokta ili utibiwe"
MUME:"Kweli unanijali mke wangu"
MKE:"Mara ya tatu ni ule wakati
ulipokuwa unaomba kura za
ubunge,ikabidi nitembee na wapiga
kura wote ili wakupigie kura! Ndo
maana ukashinda uchaguzi"
.
.
Mume akazimia
Tags:
Hahahahahahhahahahhahahhahaaaaa safi sana WIFE! Unamjali mumeo sana!
huyu ndio mke wa kuwa nae teh teh teh kwa msiooa chukueni ushauri wa bure kabisa sie wengne ndio tushachelewa...
hahahahahahaaaaa huyu kweli mke,,, kafanya upuuzi sehemu muhimu,
Huyu mke nimemkubali, yuko juu nadhani jina lake tumwite "MAMA HURUMA" ni zaidi ya mama nitilie!!!
hahahaaaa... Angekuwa hajaolewa angenifaa sana huyu.... hahahahaaaa
HA HA HA ETI MAMA HURUMA SASA JAMANI KUMUONEA HURUMA MUMEWE KWANI VIBAYA..!!?
Lyehagi Mazuli Mhuli Jr. said:
Huyu mke nimemkubali, yuko juu nadhani jina lake tumwite "MAMA HURUMA" ni zaidi ya mama nitilie!!!
AU SIO DIXON? UNAWEZA TIBIWA INDIA BILA KUCHANGIWA....
Dixon Kaishozi said:
hahahaaaa... Angekuwa hajaolewa angenifaa sana huyu.... hahahahaaaa
Kweli kabisa kaka!! yani basi tu ameisha olewa!
chaoga said:
AU SIO DIXON? UNAWEZA TIBIWA INDIA BILA KUCHANGIWA....
Dixon Kaishozi said:hahahaaaa... Angekuwa hajaolewa angenifaa sana huyu.... hahahahaaaa
Hehehehehe jamani wapiga kura wote wa mtaa, kijiji, kata, wilaya au nini mmmmmmmmmm
© 2023 Created by Tulonge.
Powered by