Daima mpende na umjali saana MAMA, kumbuka MIEZI 9 ulikaa tumboni mwake, MIAKA 2 ulinyonya maziwa yake, Kitanda chako mapaja yake, Bembea lako mgongo wake, ulimpaka kinyes na mkojo kwa kadri ulivyojisikia nae aliridhia,
alikubali kuumia ili wewe upate! alikosa raha ulipouguwa! alipigana na kutukanwa ulipoonewa,
alikaa na njaa ili wewe ushibe na kufurahi. hayo yote aliyafanya kwa mapenzi yake ya dhat kwako, KUMBUKA PEPO ZETU ZIPO CHINI YA NYAYO ZA MAMA ZETU. (MPENDE MAMA)
Tags:
I LOVE MY MOM tena saana mwenyewe anajuwa. I love my daddy also.
Sasa sisi, tuliozaliwa na mama kufa hapo hapo ,where love can be replaced ?
Mapenzi ya mama ni amri hata Mtume wa Allah ameweka msisitizo kwa hilo.
And Then - mapenzi yasiishie hapo tu ila yeyote yule umjuae amekufanyia ihsani wakati wewe ni mdogo /tegemezi/
ndugu wa wazazi,rafiki wa wazazi ,walimu wote n.k
Kwa mtindo huo dunia itatawala amani na upendo miongoni mwetu.
Kwa heriiiiiiii !
AMEN @ Omary...
Daima hakuna kama mama duniani
© 2023 Created by Tulonge.
Powered by