Tulonge

MSAADA kwa mdau mwenzetu (Hassan Saleh Damnan) ambaye nyumba yeke IMETEKETEA kwa moto.

Kwa masikitiko makubwa napenda kuwapa taarifa kuwa nyumba ya mdau mwenzetu Hassan Damnani imeteketea kwa moto pamoja na vitu vyote huko Mombasa usiku wa tarehe 30/08/2012.

Naomba tumsaidie mdau mwenzetu kwa hali na mali katika kipindi hiki kigumu. Waweza tuma mchango wako kwa Tigo Pesa (0716 528842) au M pesa (0767 528842).


Namba ya simu ya muhusika Bw. Hassan ni (+254733724838), waweza mpigia kwa maelezo zaidi. Pia waweza wasiliana na muhusika kwenye ukurasa wake wa facebook hapo chini endapo utahitaji kumsaidia kwa njia nyingine.

https://www.facebook.com/hassandamnan

Angalizo:

Tulonge imefikia uamuzi huu wa kumchangia mwenzetu baada ya kukubaliana na muhusika mwenyewe. Wadau watakao mchangia watawekwa wazi hapa tulonge pamoja na kiasi alicho changia kama tufanyavyo kwenye michango ya watoto yatima, isipokuwa mdau akipenda jina lake lisitajwe.

*Nguvu ile ile tuitumiayo kwenye kuchangia HARUSI naomba tuitumie na hapa*

 

Picha zaidi za tukio:-

Hii ndiyo nyumba ya Mzee Hassan ambayo imeteketea kwa moto na vitu vyote. Ila wana familia wote wapo salama. Huyo aliyeipa mgongo kamera ndiye Mzee Hassan mwenyewe.

 

Views: 1208

Reply to This

Replies to This Discussion

Dah! pole sana Kakaaetu mzee wetu Inshaallah mwenyezi Mungu atakusaidia.

Hii habari ni ya kuuzunisha sana..Pole sana ndugu yetu kaka yetu rafiki yetu jamaa yetu Hassan

na nakuomba ufanye subira na umshukuru mwenyezi mungu kwa mtihani uliokukuta haswa

kwako na familia kwa ujumla mmenusulika salama usalimini

Sina la kuongeza kwani Tangazo limeshajitosheleza na lina maana kubwa sana

*Nguvu ile ile tuitumiayo kwenye kuchangia HARUSI naomba tuitumie na hapa*

Mwenyezi Mungu akupe subira katika kipindi hiki kigumu.

so sad.

pole sana ndugu yetu.

Duh! Hadi nimeishiwa nguvu kusoma habari hii, pole sana kaka Damnan.Mama Malaika asante sana dada zaidi ni kumshukuru mola tumetoka salama

Duh! Hadi nimeishiwa nguvu kusoma habari hii, pole sana kaka Damnan.Omary said: asante sana hiyo ni mtihani wa allah na tumshukuru allah tumetoka salam

Dah! pole sana Kakaaetu mzee wetu Inshaallah mwenyezi Mungu atakusaidia.Alfan Mlali said: ameen kaka shukran

Mwenyezi Mungu akupe subira katika kipindi hiki kigumu.Dunda said: asante sana kaka lolote linalokupwa na huwa na kheri yake zaidi ni kumshukuru allah tumetoka salam

Hii habari ni ya kuuzunisha sana..Pole sana ndugu yetu kaka yetu rafiki yetu jamaa yetu Hassan

na nakuomba ufanye subira na umshukuru mwenyezi mungu kwa mtihani uliokukuta haswa

kwako na familia kwa ujumla mmenusulika salama usalimini

Sina la kuongeza kwani Tangazo limeshajitosheleza na lina maana kubwa sana

*Nguvu ile ile tuitumiayo kwenye kuchangia HARUSI naomba tuitumie na hapa*MARTHA MSHANGA said: thanx

so sad.Mary wa mkumbo said: asante sana dada

pole sana ndugu yetu.

Reply to Discussion

RSS

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*