MZEE mmoja alikuwa mgonjwa sana mpaka ikalazimika kuwekewa moyo mwengine...
sasa yalio tokea MZEE Dokta tangu nimewekewa moyo mwingine mawazo yangu ni ngono tuu na kupenda pesa... Inawezekana labda nimekuwa kijana au? DOKTA hapana si hivyo kabisa, ukweli ni kwamba tumekuwekea MOYO WA CHANGUDOA na huo pia tumekuonea huruma tu, kwani spea iliyonbakia ni ya shoga.. unataka tukutie huo?! MZEE: eboo?! jitie mwenyewe...
Tags:
Teh teh teh inamaana ukiwekewa moyo wa Chaoga utakuwa unawaza pombe tu kila kukicha hahahahaaaa.
Angewekewa moyo wa Alfan angekuwa anawaza nini? hahahhahahhaaaaaa
Akiwekewa wa Dis atakua anawaza kupora visimu vya watu tu na pesa zao, km alivyompolaga Kunambi Jero lake.
Angewekewa moyo wa Christer nadhani Alfan angepata tabu, maana huyo mzee angeanza kumpenda Alfan kwa moyo wake wote. Sasa sijui Alfan angefanyaje?
Hahhahahah kumbe Christer unajuwa kuwa Dis ni kibaka mzoefu?! halafu ananisingizia mimi lol.
@ Omary, Mi Dis alinipora kisimu changu cha mchina mpk leo sina simu na nina bifu nae kubwa sana sana.
Hahaaa.. wote mmenimaliza... hahaaa
hahahahah nilijuwa tu kuwa Dis ameshakuliza lol me mwenyewe ameniliza HDD yangu lol
Haswaaa Mnka ulikuwa hujui hilo?! moyo ndio unatengeneza mambo yote yanayotokea hata Dis sijui ana moyo wa kibaka?! maana mmh! lol.
Ha haa haa haaa.... comments zenu zimenivunja mbavu. Mbona Dismas hajaniibia nilipokutana naye?
© 2021 Created by Tulonge.
Powered by