Tulonge

Mwanaume mmoja alikuwa anaumwa sana mwenyewe akaona hapa siponi akamuita mkewe

akaanza kumwambia mkwe wangu naomba unisamehe me naona sitapona nimetembea na mamaako,dadaako mdogoako na shangaziako kwahiyo naomba unisamehe sana kwa nilioyatenda, mke Eeee na hicho ndio kilichofanya nikakupa sumu.

Views: 600

Reply to This

Replies to This Discussion

heeee kweli amepatiwa.!!

Hahahhahahaa wake wengine balaa

du hiyo noma kwa wale wapenda kula kuku na mayai yake

Mmmmmmmmhhhhmhmh hyo kali zaid

Teh teh teh ndiyo maana mimi sitaki kuoa

Reply to Discussion

RSS

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*