Mwanaume mmoja alikuwa anaumwa sana mwenyewe akaona hapa siponi akamuita mkewe
akaanza kumwambia mkwe wangu naomba unisamehe me naona sitapona nimetembea na mamaako,dadaako mdogoako na shangaziako kwahiyo naomba unisamehe sana kwa nilioyatenda, mke Eeee na hicho ndio kilichofanya nikakupa sumu.
Tags:
du hiyo noma kwa wale wapenda kula kuku na mayai yake
© 2022 Created by Tulonge.
Powered by