Tulonge

Na sisi wanaume tuna haja ya kuwa siku ya wanaume kama ilivyo siku ya wanawake?

Kwa nini kuna women's day lkn hakuna men's day? Kuna haja ya kuwa na siku ya wanaume??

Views: 847

Reply to This

Replies to This Discussion

mimi naona inabidi ifike kipindi hata wanawake waweze kuelewa kuwa hili swala la haki sawa na siku ya wanawake duniani ni wa esraeli ndio wamelileta kwa sababu ya kurudia dhambi alizofanya adui yetu ambaye alimshawishi mama yetu hawa au eva mpaka sisi tukapata adhabu hii ya dunia. na wanajua wazi ukiweza kumpata mwanamke kwenye jambo lako lolote ni rahisi kufanikiwa sasa wanawake wanadhani kuwa wanajaliwa ila wanatumiwa kuiharibu dunia na tangu wanawake wamewekwa kwenye mstari huo wanaoambiwa dunia imebadilika na kumekua na matatizo mengi kwahiyo hii siku ya wanawake nadhani haifai wala ya wanaume haina haja. ni hayo tu kwa sasa

Mama Malaika said:

Ni kweli kaka Eddie siku ya kina baba ipo na hapa UK yatambulika. Siku ya kina baba na siku ya kina mama zasheherekewa kwa watoto kuwakumbuka wazazi wao kuwanunulia zawadi na kuwa spoil kama asante kuwaleta duniani. Tatizo siku hii ya kina baba na kina mama miaka hii ya karibuni hapa UK imekuwa too commercialized kiasi kwamba inaanza kupoteza muelekeo wake.

Na siku ya wanawake duniani iko tofauti na siku ya kina mama kwani siku ya wanawake yajumuisha wanawake wote uwe umeolewa au hujaolewa, uwe ume una watoto au huna watoto wote twasheherekea.

eddie said:

Kwa maoni yangu mimi naona hakuna haja hiyo...ukizingatia kwamba mwanamke aliumbwa baada ya mwenyezi Mungu kukonyoa ubavu wetu na kumkabidhi. Hata hivyo nasikia kwamba kuna siku ya wanaume iitwayo daddy's day ambayo sio official kama ya kina mama!
sidhani kuwa imekua kudai haki ila imewekwa ili kushamirisha chuki ndani ya mioyo ya wanawake na kuwafanya wasiwawezeshe waume zao kuwa bora kwasababu mwanaume bora lazima kuwe na mwanamke shupavu nyuma yake, ila wanachotaka kufanya ni kumtoa yule wa mbele ili yule wanyuma asiwepo na dunia iwe ngumu. nadhani wote tunajua sababu ya mwaume kuoa ni ili apate utulivu wa maisha yake na akili yake ili iweze kufanya maamuzi sahihi. joan hilo inabidi muliangalie sana mama zetu na dada na wake zetu pia sababu limekua gumu sana na mnatufanya sisi tushindwe kuendesha hii dunia

Joan said:
Mnaweza mkawa nayo endapo mtaona kuna ulzima wa kuwa nayo kama ilivyo kwa wanawake. Kama na nyie mna jifungua katika mazingira magumu nk mnaweza kuanzisha ili mdai haki zenu.

Nafikiri huu ni mtazamo wako na huo mfano wako ulioutoa wa Israel haufanani kabisa na Israel au wanawake wa Israel wa sasa au zamani. Na hata huyo mama yetu Hawa unayemuongelea hakuwa Israel, nafikiri wakati mwingine yapasa kuperuzi na kusoma vizuri history ya na dini hizi tulizoletewa.

chiwambo bandawe said:

mimi naona inabidi ifike kipindi hata wanawake waweze kuelewa kuwa hili swala la haki sawa na siku ya wanawake duniani ni wa esraeli ndio wamelileta kwa sababu ya kurudia dhambi alizofanya adui yetu ambaye alimshawishi mama yetu hawa au eva mpaka sisi tukapata adhabu hii ya dunia. na wanajua wazi ukiweza kumpata mwanamke kwenye jambo lako lolote ni rahisi kufanikiwa sasa wanawake wanadhani kuwa wanajaliwa ila wanatumiwa kuiharibu dunia na tangu wanawake wamewekwa kwenye mstari huo wanaoambiwa dunia imebadilika na kumekua na matatizo mengi kwahiyo hii siku ya wanawake nadhani haifai wala ya wanaume haina haja. ni hayo tu kwa sasa

Mama Malaika said:

Ni kweli kaka Eddie siku ya kina baba ipo na hapa UK yatambulika. Siku ya kina baba na siku ya kina mama zasheherekewa kwa watoto kuwakumbuka wazazi wao kuwanunulia zawadi na kuwa spoil kama asante kuwaleta duniani. Tatizo siku hii ya kina baba na kina mama miaka hii ya karibuni hapa UK imekuwa too commercialized kiasi kwamba inaanza kupoteza muelekeo wake.

Na siku ya wanawake duniani iko tofauti na siku ya kina mama kwani siku ya wanawake yajumuisha wanawake wote uwe umeolewa au hujaolewa, uwe ume una watoto au huna watoto wote twasheherekea.

eddie said:

Kwa maoni yangu mimi naona hakuna haja hiyo...ukizingatia kwamba mwanamke aliumbwa baada ya mwenyezi Mungu kukonyoa ubavu wetu na kumkabidhi. Hata hivyo nasikia kwamba kuna siku ya wanaume iitwayo daddy's day ambayo sio official kama ya kina mama!
Naona sasa wewe waenda tofauti na mada yetu. Yapasa usome uzuri swali hapo juu Severin alivyouliza, JE KUNA HAJA YA KUWA NA SIKU YA WANAUME? au kwa ufupi; unaonaje iwepo siku ya wanaume kama ilivyo ya wanawake au isiwepo??? 

chiwambo bandawe said:
sidhani kuwa imekua kudai haki ila imewekwa ili kushamirisha chuki ndani ya mioyo ya wanawake na kuwafanya wasiwawezeshe waume zao kuwa bora kwasababu mwanaume bora lazima kuwe na mwanamke shupavu nyuma yake, ila wanachotaka kufanya ni kumtoa yule wa mbele ili yule wanyuma asiwepo na dunia iwe ngumu. nadhani wote tunajua sababu ya mwaume kuoa ni ili apate utulivu wa maisha yake na akili yake ili iweze kufanya maamuzi sahihi. joan hilo inabidi muliangalie sana mama zetu na dada na wake zetu pia sababu limekua gumu sana na mnatufanya sisi tushindwe kuendesha hii dunia

Joan said:
Mnaweza mkawa nayo endapo mtaona kuna ulzima wa kuwa nayo kama ilivyo kwa wanawake. Kama na nyie mna jifungua katika mazingira magumu nk mnaweza kuanzisha ili mdai haki zenu.
it cant be coz man ar ze one leading these place due to dat women must be promoted ndo mana kuna women dei and nt men dei

Reply to Discussion

RSS

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*