Tulonge

Nani wa kulaumiwa ktk suala zima la MIMBA isiyo tarajiwa.Msichana au Mvulana?

Kumekuwa na matukio mengi ya mimba zisizo tarajiwa. Unadhani nani wa kulaumiwa kati ya msichana na mvulana? Toa sababu kutetea pointi yako.

Views: 1391

Reply to This

Replies to This Discussion

Mi nafikiri mvulana! kwa sababu mvulana ndio anaeweza kumshawishi msichana mpaka kufanya tendo la ndoa

japokuwa cku hz hata wasichana wanaweza kushawishi lakini sio kwa kiasi kikubwa.

Pili, uamuzi wa kufanya mapenzi salama au kutokufanya upo kwa mvulana,akiamua kutumia kondom atakuwa amemkinga yule msichana sio mimba zisizotajiwa bali hata magonjwa ya zinaa kama vile ukimwi,kaswende na gono.......

kutokana na sababu hapo juu, nafikiri mvulana ndio wa kulaumiwa na sio msichana ktk swala zima la mimba

ZISIZOTARAJIWA

Mwanamke ALAUMIWE,yeye si ndiye anajua siku zake za hatari.Sisi vidume kazi yetu kukong'ota tu kwa kwenda mbele,hatuna muda wa kuhesabu siku.
haah hah ha Severine hujatulia wewe,yan we unajua kukong'oli tu,kazi kwelikweli
Both should be blamed jamani,coz kama ww mdada unajua kabisa unachikifanya kitaleta athar baadae kwa nn unakubali,coz midume huwa hatujui mzunguko wa mdada ukoje kama alivyosema Severin sie tunajua kutwanga tu,na ww mkaka kwa nn unaruka ruka sana usiwe kama Dis kua kama Chaoga mmoja tu anatosha.
yanaitwa mapenzi kupeana sio kukongota

Severin said:
Mwanamke ALAUMIWE,yeye si ndiye anajua siku zake za hatari.Sisi vidume kazi yetu kukong'ota tu kwa kwenda mbele,hatuna muda wa kuhesabu siku.
ni wote wakulaumiwa maana wote walipewa akili na mola na wanaelewa kila kitu

Hapa kamanda mimi naona wote walaumiwe tu.... ukisema mwanaume ndo anamshawishi msichana kwani huyo demu amekua mtoto ,  au anambaka?  Mimi nadhani sikuhizi  demu anaweza kumuambia  jamaa yake kuwa anamuhitaji jamani....kwahiyo nimakubaliano ya wote mkuu!! Jamani kila siku tu ndo niwe namuomba demu wangu! Ebo! siku nyingine namkaukia  hadi neno litoke kwakwe ndo nijue ananitamani!!

Pili uamuzi wa kuvaa  kinga haupo kwa mvulana tu...pia demu lazima awe na uamuzi hapo.  Hawezi kuachia tu mtu anaingia peku tu anvyotaka.  Tatu Swali la mzunguko wa siku japo ni kazi ya demu kujua, lakini ni jukumu pia la Mvulana kumuuliza girlfriend wake kuhusu siku kabla hata ya kulambisha filimbi yake hiyo.
  Kamanda hapo mimi kama demu tumependana  lakini hatujuani sana, basi siku ya kwanza tukifika ndani ya kumi nane  najifanya nataka kuingia peku.....akikubali tu, basi hata hamu inaisha  na talaka yake hapohapo kitandani!...Namuacha hata hajamaliza kuvaa!  Maana mtu kama huyo ni hatari sana!...Hamjuani then anjiachia ovyo!!......Pia hata kwa mademu nawashauri hivyo, kama jamaa  hamjajuana saana then anataka kunyanyua mzigo bila kinga..basi namshauri mwanamke amuone mtu kama huyo hatari  kuliko sunami!!
kadir msuya said:

Mi nafikiri mvulana! kwa sababu mvulana ndio anaeweza kumshawishi msichana mpaka kufanya tendo la ndoa

japokuwa cku hz hata wasichana wanaweza kushawishi lakini sio kwa kiasi kikubwa.

Pili, uamuzi wa kufanya mapenzi salama au kutokufanya upo kwa mvulana,akiamua kutumia kondom atakuwa amemkinga yule msichana sio mimba zisizotajiwa bali hata magonjwa ya zinaa kama vile ukimwi,kaswende na gono.......

kutokana na sababu hapo juu, nafikiri mvulana ndio wa kulaumiwa na sio msichana ktk swala zima la mimba

ZISIZOTARAJIWA

Hahahahaaaa Kunambi mimi siyo kirukaruka acha kunionea mkuu.

KUNAMBI Jr said:
Both should be blamed jamani,coz kama ww mdada unajua kabisa unachikifanya kitaleta athar baadae kwa nn unakubali,coz midume huwa hatujui mzunguko wa mdada ukoje kama alivyosema Severin sie tunajua kutwanga tu,na ww mkaka kwa nn unaruka ruka sana usiwe kama Dis kua kama Chaoga mmoja tu anatosha.
Hahahhahahaaa wewe Severin sina hakika kama hiyo ndonga yako ipo sawa.

Severin said:
Mwanamke ALAUMIWE,yeye si ndiye anajua siku zake za hatari.Sisi vidume kazi yetu kukong'ota tu kwa kwenda mbele,hatuna muda wa kuhesabu siku.
Mwanamke ndo alaumiwe aisee,wewe unajua kabisa leo haupo poowa lakini jamaa akitaka wampa sasa unafikiria kitatokea nini? halafu chakushangza sasa wanawake wanaogopa sana kupata mimba kuliko kupata UKIMWI, utasikia hatujatumia Condom nikipata mimba je?

Mambo vp?nashukuru kwa kuwa mmoja wa kuchangia mada hii,ila kwa mtazamo wangu mimi wote wana makosa kivipi?mwanamke pengine alikuwa na hamu ya kufanya sex,na sote tunafahamu kuwa hakuna atakaeweza kuizuwia hamu impite, lakini yeye hakuwa na lengo la kufanya mapenzi ili apate mimba sawa!yeye alikuwa na hamu ya kukata kiu yake na ndio maana akakubali kufanya mapenzi,lakini kwa upande wa mwanamme yeye ndio anamakosa zaidi kivipi?mwanamme nisawasawa na referee anaechezesha mpira uwanjani,ikiwa mwanamme hataki kumpa mimba mwanamke basi hata iwe vp hawezi kumpa mimba,kuna njia nyingi tu ambazo tunazijua na wengi wanazitumia kwa kuwaepushia watoto wa watu wasipate mimba,samahani kwa kutozitaja  leo ila mkinilazimisha nitakutajieni one by one,ahsanteni sana.

wote wawili walaumiane wenyewe, maana hawakujiandaa,

Reply to Discussion

RSS

© 2023   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*