Tulonge

Assalam alaykum wadau wa tulonge, 

kuna swahibu wangu wa pete na chanda, aliwahi kuniuliza swali lifualatalo:

Amewahi kufanya mapenzi na wanawake kama watatu hivi, lakini wakati wa kufanya shughuli yenyewe huwa ni mujarab sana wa kuweya kumfikisha mhusika kileleni, nakusudia kwamba humchezea mpüaka mwanamke akakojoa, lakini mtihani upo hapa! akitaka kuanza kuchinja, kisu chake kinalika, na makali yote hupotea, hushindwa kumaliza kazi, kwani kisu kinalala, hakikati kabisaa!! lakini cha kushangaza ni kwamba, anapokuwa peke yake kisu kiakuzwa kikali sana na kutamani kichinje, anapovuta fikra tu basi huweza piga bao la aina, sasa ndio suala lake anataka kujuwa tatizo linalo msibu ni kitu gani hassa!!

Views: 700

Reply to This

Replies to This Discussion

Kamwone daktari. Tiba haitolewi kwenye mitandao.

Aya! Freedom of speech naona wengine wanaitumia vibaya.

Kila swali lina majibu lakini si kila swali linatakiwa kujibiwa, kwa sababu inawezekana kabisa wewe unayejibu swali ukaonekana una "mental disodrder" kutokana na swali lenyewe.

Maswali mengine kwa kweli kwa mtazamo wangu hapa si mahala pake.

Sijui kama kuna mtu atajibu swali hili hapa kijijini, kwa jinsi navyowaelewa watu wa kijiji hiki; si ajabu wakaanza kukuporomoshea madongo.

STAY TUNED!

Nafikiri swaiba wako huyo ana tatizo la kutokujiamini na ndio linampa hofu mpaka kisu ki ashindwa kukata mwambie tu akamuone Dr tatizo lake litaisha. Unajuwa kuna mambo mengi sana yanayowafanya wanaume hata wanawake wawe nje ya mchezo kimawazo na mawazo yasipokuwepo uwanjani basi hakuna magoli, sp I hope akimuona Dr pengine hahitaji hata dawa akiongea nae na kumshauli tu anaweza kupona.

Reply to Discussion

RSS

© 2023   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*