Tags:
Duh! hapa mimi siyo mtaalam sana wa hayo mambo. Ila ninachofahamu unene unaosababishwa na hizo dawa huchukuwa muda mrefu kidogo kuisha. Kuna mwenzako mmoja ilimchukua zaidi ya mwaka mmoja hadi kurudia hali yake ya kawaida. Pia alikuwa anafanya mazoezi ili arudie shepu yake.
Kwa kifupi hayo madawa siyo mazuri kivile.
Kwanza pole na matatizo yanayokupata,jambo hilo si geni kuwahi kutokea kwa nyinyi watumiaji wa sindano za majira.
ushauri wangu hapo ni kukuomba urudi hospital na ukaonane na madaktar bingwa wanahusika na matatizo ya uzazi kwa ujumla,huku ukijaribu kufanya mazoezi ya kutembea au kukimbia.Lingine inawezekana vyakula navyo vinaweza kusababisha tatizo hili nalo.
Tafadhali wasiliana na washauri wa maabara wanaweza kutatua tatizo lako
Duh, pole sana. Fanya fanya mazoezi na upunguze vyakula vya wanga na protein
hahaha farida umenichekesha sana leo ss kama wewe hapo ni bonge cjui mie nitasemaje lol
Kwanza nawapongeza kwa kuwa wa wazi juu ya matatizo yenu ya kuongezeka mwili[yaani unene],lkn hapa nataka nikwambie kitu Hilda,unene au wembamba hamzuii mtu kutokufanya mazoezi .please unatakiwa uanze sasa kufanya mazoezi kwa ajili ya afya yako.Hilda tatizo lenu mmekuwa wa tu wa aibu sana ,mnaogopa kuchekwa pindi mtakapoonekana miataani.
Nakuomba sana dadangu zingatia haya ninayookwambia,utaona faida yake
© 2021 Created by Tulonge.
Powered by