Tulonge

msahada mi nandugu yangu anasumbuliwa na figo na inahitajika abadilishiwe figo lake moja co nahitaji kujua itachukuwa kiasi ngani cha fedha kununua hilo figo na ninaweza kulipata wapi naumbeni msaada kwa hilo

Views: 2086

Reply to This

Replies to This Discussion

Jamani me nina wazo hivi akienda muhimbili akaongee na wale watu wanaohudumia watu ambao ma doctor wameshindwa kunusuru uhai wao hawezi kupata? au ile itakuwa haifanyi kazi? maana mwenyewe anaezitumi hayupo bora figo zake zitumike kusaidia watu wengine walio hai.

Ple sana kuuguliwa na ndugu yako. Iwapo hakuna family members na marafiki wa karibu wanaoweza kujitolea nakuomba uende kwa hiyo hospital waliyoshauri kupata figo wao watakusaidia procedures za kupata kidney transplant or living donor ambaye yuko tayari kujitolea au doctors wa hiyo hospital watakuunganisha na doctors wa Muhimbili

Kama alivyosema Omary... hivi sasa ni vigumu kuaminiana hasa kwa mtu ambaye kaingia Tulonge sasa tu na kuomba msaada wa figo.

Kiufupi... it's illegal kulipia human organ (to individual organ donor) kwa njia ya cash or gifts haijalishi iwe figo, ini, body tissue, jicho, mkono, n.k. Hiyo ni sheria imewekwa na WHO na yatumika nchi zote duniani tajiri kwa masikini ikiwamo Tanzania na ukishikwa unashitakiwa. Sheria hiyo imewekwa ili ku-control Human Organ Trafficking and Human Organ Black Market ambayo ina exploits watu wasio nacho (supply side-poor people) na walio nacho (demand side) hasa wagonjwa nchi tajiri, hivyo kufanya wasio nacho kugeuza viungo vyao vya mwili kuwa commodities kitu ambacho ni kinyume na ubinadamu (immoral).

Mimi ninazo figo za ng'ombe sita, zipo nyumbani

Mtu mwenyewe hata picha yake halisi hajaweka. Kweli upo serious wewe? Hebu weka kwanza picha zako halisi kama tano hivi.

Hahahahahah Joan Bangi hizo, hebu niletee mimi hizo figo za ng'ombe tena uwe umeshazirost niletee na chapati kama 7 hivi nitakushukuru kinoma lol msos wa usiku freshiiiiiiiiiiiii 

Reply to Discussion

RSS

© 2023   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*