Tulonge

Napenda kuchukua nafasi hii kuwatakia Kwaresma njema wadau. Tuutumie wakati huu kumuomba Mwenyezi Mungu atusamehe makosa yetu na atuzidishie baraka tele katika maisha yetu.

Amen.

Views: 1169

Reply to This

Replies to This Discussion

Na kwako pia Belita

Amina.. Na wewe pia!

Asante sana dada Belita. Nawe pia kwaresima njema.......

amin, na wewe pia Belita.

Asante sana Belita....kuw na kwaresma njema nawe pia!

Thanks Belly nawe pia

 

Tunashukuru sana nawe tunakutakia kwaresma njema yenye amani na utulivu.

Thank you very welll dear.

Dada belita tunashukuru kwa upendo waku nawewe mungu akubariki sana na sana tu, tuko pamoja sana,

Amina! Na wewe pia Belita.

Reply to Discussion

RSS

© 2023   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*