Tulonge

Ni kweli kuna kinga/tiba ya Ukimwi? Au ni porojo tu?

Jamani naomba tuwekane wazi juu ya hii ishu,tusije tukafa kama kuku.
-Kwanza ni kinga au tiba?
-Ilijaribuwa na kufanikiwa kukinga/kutibu ukimwi kwa 100% ?

Views: 808

Reply to This

Replies to This Discussion

me naona hakuna dawa wala kinga ya ukimwi.
dawa nikuacha ngono zembe.
Ipo, tena usiwe na wasiwasi. kama unao jua umeshapona, na hata kama hauna, we endelea kukong'oli tu kwa sabu dawa ipo.
duuuuuh hii balaa sasa

Cha the Great. (true Rasta) said:
Ipo, tena usiwe na wasiwasi. kama unao jua umeshapona, na hata kama hauna, we endelea kukong'oli tu kwa sabu dawa ipo.
Dah! jamani hebu tumuogopeni Mungu me sijawahi sikia dawa ya ukimwi wanadai zinapunguza makali tu bt c kuponya sikuhizi kuna ndom za wadada pia hebu 2jaribu kuzitumia madada usione aibu kununuwa condom sio jukumu la man pekeake.
hakuna linaloshindikana kama mungu akiamua ipatikane
-Hahahahahaaaa Omari wewe ndo umeandika maneno haya? Siamini "me naona hakuna dawa wala kinga ya
ukimwi.dawa nikuacha ngono zembe."
Cdhani kama dawa hakuna cha tiba wala nn, hata hao madaktari wenyewe wakihojiwa wanashindwa kuwa straight kuwa dawa ipo. Bora kuwa makini tu, na kujitahidi kuepuka ngono. Vinginevyo tutakufa kama ccmizi.
Mimi siamini kama kuna dawa. Maana ingesha wekwa wazi saaaaaaaaaana,mbona wanaongea kiaina tu halafu wanasizi.Ni porojo tu
Nahitaji maoni yenu zaidi jamani
Ambaye anaamini kuna dawa anitafute nimpeleke akafanye ni muathirika halafu atumie hiyo dawa yake, tuone kama atapona hahahaahaaa
Hakuna lolote. Wanataka tuuane tu.
Naona watu mwabishana tu. Ukimwi ulishindikana kutibika kwa kuwa kila dawa ilogunduliwa ilikuwa ikiua virusi vya ukimwi pamoja na seli za damu. Ila utafiti uliofanyika kwa muda mrefu huko Marekani miezi miwili ilopita umevumbua chembechembe ambazo zina uwezo wa kuua virusi vya ukimwi bila kuharibu seli za damu. Hiyo haimaanishi kwamba dawa imepatikana bali uvumbuzi huo utawasaidia kupata dawa husika kwa kuwa kazi ya maabara inaendelea. Inaweza kuchukua miaka mitatu au zaidi kukamilika kwa dawa hiyo ila uhakika ni kwamba dawa inakuja. Kwa taarifa zaidi tu, mwezi uliopita watafiti waliovumbua hiyo dawa wameshafanya presentation ya hiyo dawa kwenye mkutano wa WHO na wamethibitishwa. Ukitaka maelezo ya kutosha bofya hapa

Reply to Discussion

RSS

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*