Tulonge

Ni kweli kuna kinga/tiba ya Ukimwi? Au ni porojo tu?

Jamani naomba tuwekane wazi juu ya hii ishu,tusije tukafa kama kuku.
-Kwanza ni kinga au tiba?
-Ilijaribuwa na kufanikiwa kukinga/kutibu ukimwi kwa 100% ?

Views: 808

Reply to This

Replies to This Discussion

@ Severin... AIDS has no cure. Na hata hizo porojo za kinga/tiba zimekuwa zikitanda magazeti (e.g. British Medical Journal) kila mwaka na kuwapa watu matumaini duniani kote bila mafanikio ya kweli.

@ Hashim Rajab..... Mungu anamsaidia yule anayejisaidia mwenyewe. Inatubidi Africa tuchacharike kwenye Research & Development ajili ya kugundua tiba/kinga ya AIDS na sio tujibweteke kusubiria hadi Mungu atapoamua dawa ipatikane la sivyo Africa tutapukutika wote kwa kusubiria Mungu. Africa kuna wataalamu wengi tu wa kutosha.
Large pharmaceutical firms zote za west zinazotengeza dawa zinajali profit na sio bin-Adam au Mungu. Iwapo soko kubwa la dawa & kinga ya AIDS lingekuwepo Japan, nchi za Ulaya magharibi, north America (US & Canada) basi kasi ya utengenezaji dawa ingekuwa kubwa. Na siajabu hadi kufikia mid 1990s dawa ingekuwa tayari ilishapatikana. Tatizo soko kubwa la ugonjwa huu liko nchi masikini duniani; south Asia, sub-Sahara Africa, Caribbean & south America ambako tunategemea dawa za misaada na vifa kila siku.
Afadhali Mama umewasili kijijini. Nilikuwa nasubiria mawazo yako ya hekima kama haya. 2po pa1 mama.
Ha haa haaa... najua wewe ni mtoto mzuri hadi baba yako anakusifia. Angalia CHA asikupoteze na msemo wake wa "kukong'oli". Ha haa haaa

Dismas Hiza said:
Afadhali Mama umewasili kijijini. Nilikuwa nasubiria mawazo yako ya hekima kama haya. 2po pa1 mama.
Hahahahaaa Mama huyo Cha bangi zinamtuma vbaya.
UKIMWI sio ugonjwa tambua hilo, hivyo Kinga yake ni kula vizuri na kulala vizuri.
tuzungumzie VVU/UKIMWI
wataalamu wanapambana na watu wanaoishi na virusi vya ukimwi wasiambukizwe virusi vipya na kufikia katika ukimwi, na wasio na vvu wasiambukizwe.
Ipo kaka,wewe endeleza kukamua tu.

Reply to Discussion

RSS

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*