Jamani naomba tuwekane wazi juu ya hii ishu,tusije tukafa kama kuku. -Kwanza ni kinga au tiba? -Ilijaribuwa na kufanikiwa kukinga/kutibu ukimwi kwa 100% ?
Dah! jamani hebu tumuogopeni Mungu me sijawahi sikia dawa ya ukimwi wanadai zinapunguza makali tu bt c kuponya sikuhizi kuna ndom za wadada pia hebu 2jaribu kuzitumia madada usione aibu kununuwa condom sio jukumu la man pekeake.
Cdhani kama dawa hakuna cha tiba wala nn, hata hao madaktari wenyewe wakihojiwa wanashindwa kuwa straight kuwa dawa ipo. Bora kuwa makini tu, na kujitahidi kuepuka ngono. Vinginevyo tutakufa kama ccmizi.
Naona watu mwabishana tu. Ukimwi ulishindikana kutibika kwa kuwa kila dawa ilogunduliwa ilikuwa ikiua virusi vya ukimwi pamoja na seli za damu. Ila utafiti uliofanyika kwa muda mrefu huko Marekani miezi miwili ilopita umevumbua chembechembe ambazo zina uwezo wa kuua virusi vya ukimwi bila kuharibu seli za damu. Hiyo haimaanishi kwamba dawa imepatikana bali uvumbuzi huo utawasaidia kupata dawa husika kwa kuwa kazi ya maabara inaendelea. Inaweza kuchukua miaka mitatu au zaidi kukamilika kwa dawa hiyo ila uhakika ni kwamba dawa inakuja. Kwa taarifa zaidi tu, mwezi uliopita watafiti waliovumbua hiyo dawa wameshafanya presentation ya hiyo dawa kwenye mkutano wa WHO na wamethibitishwa. Ukitaka maelezo ya kutosha bofya hapa