Tulonge

Ni kweli kwamba mwanamke/msichana hupata raha zaidi wakati wa tendo la ndoa kuzidi mwanaume?

Nimekuwa nikisikia kuwa mwanamke ndiye ambaye hupata raha zaidi wakati
wa kufanya tendo la ndoa. Nimeshindwa kupata uhakika juu ya hili. Lkn
kwa upande mwindine inaweza kuwa ni kweli kwa sababu wengi wao huonesha
hisia kwa kutoa miguno ya kimahaba zaidi ya mwanaume. Sijui huwa
wanatuibia au vp. Niweke wazi juu ya hili.


Views: 4889

Reply to This

Replies to This Discussion

Hahahahaaaa... Dismas unajuana na ndugu yetu Omary..... WIZI MTUPU! Bado najifunza sijaupata ukweli juu ya hili.. natumaini mwisho wa mjadala huu jibu litakuwa limepatikana. ikiwezekana KURA ZIPIGWE KATI YA WANAWAKE NA WANAUME.... niwazo tu jamani.... hahahahaaaa
mwanamkehuapata raha sana sababu yeye huwa ni kama anakunwa kidonda lakini sisi wanaume kawaida tu
Jamani humu ndani kuna wanaume wa2pu? mbona cckii hata mwanamke kututhibitishia? juu ya hili
tafadhalini akina dada tusaidieni jamani sio tunabishana tu hapa wakati nyie mpo hebu tulahisishieni tupeni jibu jamani nipo chini ya miguu yenu pls hapa tunaelimishana 2 maana naona wakina dada wote kimya kama hampo vile!!!!!!!. samahani kama nitakuwa nimewakwaza.
Mkuu Dixon nimewaomba wakina dada wa2thibitishie juu ya hili hebu tusikie majibu yao ikishindikana kabisa
ndio tuandae tume ya uchaguzi hatimae kura kupigwa bt sidhani kama tutafika huko ninamatumaini sana
wadada watatusaidia kupata jibu sahihi kwani wote tuna lengo 1.
Du!!! Mada tamu sana, ngoja nikajichimbie nitafute point.

Reply to Discussion

RSS

© 2023   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*