Nimekuwa nikisikia kuwa mwanamke ndiye ambaye hupata raha zaidi wakati
wa kufanya tendo la ndoa. Nimeshindwa kupata uhakika juu ya hili. Lkn
kwa upande mwindine inaweza kuwa ni kweli kwa sababu wengi wao huonesha
hisia kwa kutoa miguno ya kimahaba zaidi ya mwanaume. Sijui huwa
wanatuibia au vp. Niweke wazi juu ya hili.
