Tulonge

Ni kweli kwamba mwanamke/msichana hupata raha zaidi wakati wa tendo la ndoa kuzidi mwanaume?

Nimekuwa nikisikia kuwa mwanamke ndiye ambaye hupata raha zaidi wakati
wa kufanya tendo la ndoa. Nimeshindwa kupata uhakika juu ya hili. Lkn
kwa upande mwindine inaweza kuwa ni kweli kwa sababu wengi wao huonesha
hisia kwa kutoa miguno ya kimahaba zaidi ya mwanaume. Sijui huwa
wanatuibia au vp. Niweke wazi juu ya hili.


Views: 4889

Reply to This

Replies to This Discussion

Mmh! hii ni kweli kabisa wanawake husikia raha zaid kuliko wanaume kwa mfano umechovya kidole chako kwenye kikombe cha asali ukiingiza mdomoni ukalamba radha itakuwa kidoleni? au mdomoni? ukweli nikwamba utamu utabaki mdomoni sio kidoleni hivyo inathibitisha kuwa wanawake hupata raha zaid yetu, kuhusu miguno ya kimahaba yeah huenda coz of raha bt wengine wanachanganya na wizi ndani yake ili akukoleze umuongezee hesabu.
Hhaahahahaaahaaaa naona gwiji la mapenzi (Omary) limekuwa la kwanza kuchangia hahahahaa. kweli tabia haijifichi
hiyo ni kweli kabisa!mfano chukua cotton buds au sisi wengine tunatumia unyoya wa kuku safisha sikio lako,utona utamu uliko kama ni kinacho chokonoa au kinachochokonolewa.
Oswad angekuwepo hapa angekuwa anawajibu vzr hz ishu hahaahaaaa. Mtu kama mm mnanionea tu.
During the sexual act men sweat more than women as women are able to regulate the amount of water they lose.

kwa kipindi hicho mwanamke hutoa miguno ya kila aina
ebwana ni kweli kabisa kuna bint's mwanangu balaa wana miguno ya khatari ila mamen nao huwa wanaskia vilevile
Ndugu yangu mimi nadhani ukweli halisi mnao nyinyi wanawake kwa kuwa nyie ndio watendewa na ndo hasa mnaopata hisia za tendo lenyewe. Ila kwa kifupi ni kuwa, tafiti nyingi zinasema kuwa utamu wa tendo kwa mwanamke ni kwa muda wote wa tendo toka mwanzo hadi jamaa anaposhusha mzigo. Kwa wanaume inasemekana kuwa utamu huwa pale tu bao linapotoka. Wanaoungana na nadharia hii wanahusianisha na kitendo cha wanaume kuwa na mahusiano na wanawake wengi. Sababu ya hili wanasema kuwa, wanaume wanakuwa na wanawake wengi ili kukompaseti raha kidogo wanayopata wakati wa tendo.
mmhh mimi sina cha kuchema chipingi wala chichemi kazi kwenu malover boy!!!!! au unasema DISMASS HIZA?
Duh, hii ni kweli kabisa haina ubishi wala nini...Nashangaa Dismas kujifanya hajui wakati ndio bingwa wa kuharibu watoto wa shule...hahahahahaha!
Kuna watu wako deep humu ndani kama Omari na patrick maana wametoa mifano ambayo haipingiki kabisa....
Nawasubiri kina dada Moreen, Belita, Mtemi nao waje watupe uzoefu wao!
Hahahahah Alfan unaniuwa kimtindo ila inabidi tuseme ukiweli coz hii mada inagusa maisha ya binadam
tena ya ndani kabisa lazima tuwaweke wazi wanawake kama kuna asiesikia raha ajuwe kuna tatizo hapo
litatuliwe haraka maana tendo la ndoa ni full raha hakuna kuumizana.
Omy mimi nafikili kila mmoja huwa anapata raha si kwa mke au mume.
Ni kweli kaka omary umechangia vema halfani hata dismas.kiukweli kabisa mwanamke an 90% ya raha anayosikia katika tenda la ndoa na mume ana 10% tu.Hii ni kitaalam sasa Cha kujadili mbele huko men mwenye pipe ndefu na wenye fupi kinanani wanaowafikisha barrabara wanawake? kazi kwako Dis kuitaftia siku mada hii.

Omary said:
Hahahahah Alfan unaniuwa kimtindo ila inabidi tuseme ukiweli coz hii mada inagusa maisha ya binadam
tena ya ndani kabisa lazima tuwaweke wazi wanawake kama kuna asiesikia raha ajuwe kuna tatizo hapo
litatuliwe haraka maana tendo la ndoa ni full raha hakuna kuumizana.

Reply to Discussion

RSS

© 2023   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*