Severin mtu asikudanganye, masuala ya kitandani usi judge kwa umbo la mwanamke bali utaalamu. Waweza pata kibonge akakupigisha kwata kitandani na ukitoka hapo uko hoi bin taaban, miguu imekulegea utasema umekunywa Wanzuki na Pingu.
Ooops... samahani wakwe zangu, kaka zangu na wadogo zangu ninachangia mjadala. Ha haa haaa
© 2023 Created by Tulonge.
Powered by