Nimehama Facebook, nimerudi nyumbani kujenga kijiji cha TULONGE, naomba mfuate nyayo zangu wadau.
Uzalendo huanzia kwenye vitu kama hivi. Kama unaungana nami sema "PamoJah"Tags:
PamoJah
Hongera sana Tulonge, "PamoJah" tujenge Kijiji chetu!
Pamoja japo wewe mwenyewe uliadimika sanaaaa man
karibu tena
Pamojah sana Tulonge!
Karibu sana
Karibu tena
Pamojah!!
© 2023 Created by Tulonge.
Powered by