Nimehama Facebook, nimerudi nyumbani kujenga kijiji cha TULONGE, naomba mfuate nyayo zangu wadau.
Uzalendo huanzia kwenye vitu kama hivi. Kama unaungana nami sema "PamoJah"Tags:
Home Sweet Home..............Heri niendelee kujivinjari kwa mtandao wa nyumbani kwa ajili ya nyumbani.
Wana TULONGE mpooooooo?
Tupogoooooooooooooooooooooo
Hod! Hod! Hod! Jamani ndugu zangu mpoo? dah! nimewakumbuka sana nimefurahi kukuta kijiji chetu bado kipo
maana sijui ningefikia wapi? mie. Nawatakia afya njema.
Karibu tena ulierudi, mimi nilikuwa shamba nalima ndiomana nilikuwa kimya.
Doh.. Watu tunachungulia tu nakupita!!! Nguvu za ziada zinahitajika kurudi humu kwa kasi zote!!
Sana tu Dickson watu tuko busy na whatsup sasa hivi tunasahau tulikotoka!
Watu bado wamelala dolo
© 2023 Created by Tulonge.
Powered by