Tulonge

Kumezuka mtindo wa wanawake wengi ambao hawajaolewa kulalamika kutelekezewa watoto na wanaume waliowazalisha/ waliowatia mimba,  Je nani mwenye makosa hapo, ni mwanake alibeba ujauzito, au ni mwanaume aliyetia mimba?

Views: 538

Reply to This

Replies to This Discussion

Wote wana makosa, chapa makofi wote wawili.Walikua wanaona utamu tu kunjunjana.

Wote wana Makaosa.. we unajua viungo hivyo viwili vikikutana bila kinga yoyote matokeo yake ni yapi alafu unalalamika nini? Chapa wote!!

mwanamke ana makosa kwa sababu, hayuko makini na udanganyifu wa mwanaume, mwanaume anaweza kuwa na makosa kama atambaka yule mwanamke,

hahahahahaha@ Dismas na Dixon mmenifurahisha sana. makosa ni ya wote wawili kama walikuwa hawana mpango wa kuishi pamoja kwanini walikubali "kupiga game" peku peku????

Alafu wewe Boni hebu acha ukorofi hapa, wote wana makosa hakuna cha mwanamke wala mwanaume. hakuna cha mpaka kubakwa, kama mna uwezo wa kutiana mimba, manake nyote mu watu wazima, kwani hamkujua kuwa mkipanda mahindi mtavuna maize? na sio nyugu mawe, korosho, wala parachichi?

mmi huwa nashikwa na hasira sana, utakuta mwanamke alishaambiwa mimi nina mke au nina mchumba/sina mpango wa kukuoa, halafu mwanamke  anajituliza anatiwa mimba matokeo yake ni maangaiko na malalamiko, sasa haya si makusudi jmn.

Na kwann udate mume/mchumba wa mtu? huyo wala simuonei huruma hata kdg, tafuta wako then jiachie utakavyo.

yaani christer nina jirani yangu hapa, alishambiwa nina mke na watoto, kajibebesha mimba sasa hivi kabaki kulalamika, na kupigwa na huyo bwana anapoenda kudai pesa za matumizi ya mtoto, sasa huyu unatamuonea huruma kweli?

Huyo bwashemeji hujui mtu kama huyo chapa mimba tena ya 2 na 3! na akijishebedua tena chapa ya 4 na 5, kwasbb hajitambui wala haijui thamani yake.

Hahahhhahaa wewe Christer unacheza na porojo za wanaume nini? Unapigwa somo hadi unaingia line mwenyewe,hata kama jamaa ana wake wanne.Kuna minjemba inasomesha wasichana utadhani imesomea kutongoza.

Christer Christopher said:

Huyo bwashemeji hujui mtu kama huyo chapa mimba tena ya 2 na 3! na akijishebedua tena chapa ya 4 na 5, kwasbb hajitambui wala haijui thamani yake.

manka keshajibu kwamba mwanamke ana makosa ni mwepesi kudanganywa, kuweni wagumu @christer muone kama mtapata mimba,

manka said:

yaani christer nina jirani yangu hapa, alishambiwa nina mke na watoto, kajibebesha mimba sasa hivi kabaki kulalamika, na kupigwa na huyo bwana anapoenda kudai pesa za matumizi ya mtoto, sasa huyu unatamuonea huruma kweli?

Tumuuliza Alfan nafikiri atakuwa na jibu sahihi.

Reply to Discussion

RSS

© 2020   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*