Tulonge

Kumezuka mtindo wa wanawake wengi ambao hawajaolewa kulalamika kutelekezewa watoto na wanaume waliowazalisha/ waliowatia mimba,  Je nani mwenye makosa hapo, ni mwanake alibeba ujauzito, au ni mwanaume aliyetia mimba?

Views: 538

Reply to This

Replies to This Discussion

Hahaahhhahahaaaa siku hizi hata sisi wanawake tunatongoza vilevile @ Dis, kama huamini jilengeshe anga zangu sikumoja uone.

We Boni unaposema tuwe wagumu unajumuisha wanawake wote, si kweli kbs, ndio sikatai kuna wachache wa chips mayai maharage ya mbeya maji mara moja km jirani yake Manka na wengine wagumu, upo?

Wote wana makosa hapo. Ila wanaume wengi wanakuja kwa njia za udanganyifu sana kama alivyosema Dismas wanajua kupigisha somo hadi mwanamke anaingia line.

Iwapo mwanaume anakuwa na mwanamke na hana nia ya kuzaa naye kwanini usitumie kinga? Wanaume wengi hawajui athari za kutenekeza watoto la sivyo wasingethubutu kufanya hivyo

hahahahahahah Dis unanivunja mbavu eti kuna minjemba inasomesha utazani imesomea lol
me natupa lawama zote kwa mwanamke unajuwa siku zote wnaume ni watu wa kujalibu ukijilegeza unamegwa na kuachwa na ww mdada unaona kabisa mchizi anafamilia nawe wajiongeza unakitaka nini? kama c mimba? ila wote wana makosa Mwanaume kwa nn? umhalibu ntoto wa mwanaume mwenzio? na kujitoa muhanga maana leo kapata mimba kesho unapata ww ngoma sijui umemkomoa nani?! chapa wote ila mwana mke bakora zizidi ili akome kujiachia tena.

Reply to Discussion

RSS

© 2020   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*