Tulonge

Views: 666

Reply to This

Replies to This Discussion

Ni jambo la laana nalo ni kinyume cha maumbile....

Mafanyao haya sisi , wanawezaje kutusimulia ni raha gani inapatikana.

Zaidi ya kuzikweza hamu zisizoondoka mpaka mwanamume aingilie kati kwa kufanya haswa kitu yenyewe..

Kuishi kwingi kuona mengi...

 Niongezee kuchokoza haya WEWE BWANA kama utamfuma mkeo au mtu wako anashirikiana na mwanamke mwenziwe alive !!!

 

UTACHUKUA HATUA GANI ???????

kwa kweli ni mambo ya ajabu sana, mungu aliona kuwa mwanamke na mwanamke haiwezekani wakafanya mambo hayo ndo maana akawepo mwanaume, na ukiangalia mwanamke katoka ubavuni kwa mwanaume, jamani hiyo ni laana kabisa! wala cjaipenda kabisa hiyo tabia.

duh!,Belita unasemaje juu ya hiloooo?

Sababu inaweza kuwa ni sisi wanaume ambao wengine si wahaminifu ktkt ndoa au mahusiano kwa jumla.Sababu nyingine ni tamaa miongoni mwa wanawake wenyewe.Tuje ktkt suala hili la mahusiano kikweli wanamke anaweza kumpenda sanasana mwanaume na ikwa habanduki na wala hasikii lolote juu ya mwanaume huyoo,lkn mwanaume kumbe hajatulia leo yupo na huyu na keshoyupo namwingine,sasa hapa mwanamke akishangundua tabia za jamaa basi mapenzihakuna nautokea kumchukia mwanaume yoyote yule kwamba ni walongo.Hapo ndipo anapokuwa mbali na wanaume ,na kuanza tabia ya kujichuana baada kumtafuta mwanamke mwenzake mwenye matatizo kama yake ili wafarijiane,na matokeo yake wanakuwa sugu.Pili kuna baadhi ya wanamke wana tamaa,sas hawa wanakuwa na wakati ngumu wanapokutana na wanawake wenzao wenye pesa  na tabia hizo,uwalaghai na kuwapa vitu vya samani ili watimize malengo yao

Reply to Discussion

RSS

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*