Tulonge

Nini kifanyike kwa kiasi cha fedha kilichopatikana kwa ajili ya watoto yatima kipindi hiki?

Hadi sasa mfuko wa watoto yatima una Tsh. 200,000/=, naona uchangiaji unasuasua sana.Nini kifanyike kwa kiasi kilichopatikana kwa ajili ya watoto yatima? Zitumike kwa watoto yatima wa kituo gani? Toa wazo lako.

 

Bofya hapa kuona kiasi kilichochangwa.

Bofya hapa kujiunga na kundi la Mfuko wa watoto yatima

 

Views: 1283

Reply to This

Replies to This Discussion

Dismas, naffikiri upeeke kituo chochote unachoona ni rahisi kwako kukifikia. Fanya hivyo then tupange mambo mengine. Maana naona wadau wanakuwa wazito kutoa maoni na mawazo yao.

Nadhani tuko pamojah wazo zuri, kukumbushana ila wazo la omary wazo zury pia, hata kama tusipoenda wote huko kuwapelekea watoto lkn ni vizuri kama ingepangwa siku kila mwenye kitu anachokiona kinafaa kumpelekea mtoto akifikishe mahala panapohusika akaendelea na mpango wake sidhani kama kunawengine wanakosa vinguo  sukari mchele unga kuku, ataweza kuvituma kupitia tigo pesa au m pesa, au wanatakiwa wapelekewe pesa tu? wazo tu, mawazo yenu ni mazuri, ila nimetoa wazo,,,

We Dismas, bado tu! au umeanzisha DECI yako na wewe? Unazizungusha zizalishe ndio uwapelekee watoto.....Wewe, angalia.

Pelekea watoto bwana, maana sioni wazo jipya ambalo wadau wanachangia.

PamoJah sana.

Kwani hii haijafanyiwa kazi Dismas?

Reply to Discussion

RSS

© 2023   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*