Tulonge

Nini umuhimu wa mwanamke/msichana kuvaa shanga kiunoni?

Huwa nashangaa sana wanawake wanaovaa shanga kiunoni,nashindwa kuelewa kama ni urembo au ni nini.Na kama ni urembo kwa nini wanauficha na nguo juu?

Views: 13790

Reply to This

Replies to This Discussion

Mh, sina comment maana sijawahi kukutana hata na mmoja wao, nahisi ninge muuliza umuhimu wake!!

Kwa kweli asiyejua neno haambiwi neno lkn mi leo nakuambia Lilian hizo vitu vyaitwa chachandu vinaradha  yake kwa waume wanaojua kuvichezea na pia vina mvuto wake kwenye mahaba haswa chachandu hizo zikipangwa katika rangi za kuvutia ukiona kiuno tu hashki yaja yenyewe.Labda ujaribu siku moja kumvakia shem kama unaye alafu uone response yake ukiona hachachawi basi ujue naye hajawahi kukutana na hiyo habari.

Pia ni muhimu zifichwe na nguo juu kwani ni maalumu kwa mwandani wako tu wala si vinginevyo.

kazi ipo me hapa bora nipite tu.........

Usione tu,Dunia ilipofika dada !!Lilian tunaposema maadili yameporomoka ni hili moja wapo kuonekana kama halina nafasi kwa walimwengu wa leo.

Na zaidi - Umagharibi ( Westernatization) kuchukua nafasi iwe kwa hiari au kwa nguvu.Na ndio kunapokosekana kuchanganua kipi chetu kipi cha wenzetu.Tutafika, pahala tena sio mbali kusahau kabisa .MILA NA DESTURI zetu kama WAAFRIKA.

Pengine ,nikwambie nisamehe dada,HUKUPATA KUHUDHURIA KOZI YA UNYAGO ,basi kwa faida yako na wasomaji.

Kitendo cha ndoa(kujamiana) kwetu ,sisi ni suala linalo miiko yake: IPI ???? SISEMI YOTE.

  1. kinachopewa faragha ( privancy) A VS B
  2. kinachohitaji usafi wa kimwili
  3. kinachotaka maridhiano
  4. kinacho taka mapambo

Msisitizo wangu- UPO NO.4 ,Wewe unapotaja ' CHANGA KIUNONI' hilo ni pambo la ndani ninaloleta mvuto fulani kwa mwanaumme wa kiafrika na kuamsha ashiki ya kitendo chenyewe kwa kuvichezea kimtindo.Na ashiki ya mwana mme -dada inakuja kwa kuona kinyume na mwanamke.

Na jibu maridhawa wa hili ni haki, sisi kama wanaumme tukueleze hisia zetu.Kama ambavyo nitegemee mwanamke aseme hisia zake zikoje na hujaje pale suali likielekeza kwake.

NADHANI NIMETOA MSAADA WA BURE.

Baadae kama hujaridhika nitakuwepo kwa hili....KWAHERI

@Babengwa kwa kweli nimeridhika na maelezo yako naona wewe na mimi tuna sail on the same boat,hakika hiyo kitu inaleta ashki kama hao wadada wanatusoma wajaribu waone kwaz wenza wao.

Bibi zetu na mama zetu wamevaa hizi shanga kwa karne nenda rudi na walikuwa wakizivaa huzioni wanaficha ndani ya mavazi/baibui na huwezi hata siku moja kuziona hadi siku hiyo (UNYAGO) unapokuwa pindi ndio wanakwambia na kukuonyesha jinsi ya kuzivaa. Siku hizi wasichana wanajiachia sana kila kitu nje nje hata thamani yake inashuka.

Walivyosema Riziki na Babengwa hawajakosea hata kidogo, shanga ni chachandu. Kuna wanaume wengi wazungu wakiwa na mwanamke chumbani amevaa shanga wanachanganyikiwa akili.

Nashukuru mama malaika kuweka msisitizo kwa kweli hata sisi waafrika tupo ambao vitu hivyo vinaturusha roho sana pindi tunapovishuhudia vikiwa mahala pake.Nafikiri dada yetu huyu atakuwa amepata funzo zuri kwa kweli na ajaribu kubadilika kuacha kuona kuwa uvaaji wa shanga ni ushamba au vinginevyo.

Pia kuna tabia ya warembo wetu kupenda kuvaa mikufu ya dhahabu au madini yoyote mengine viunoni na kusahau hizo shanga lkn nawahasa kuwa waangalifu sana kwani baadhi ya madini yanaweza waletea matatizo ktk viungo vyao tofauti na shanga ambazo hazina madhara yoyote.

Nakupongeza sana Mama malaika endelea kuwapa soma hao dada zetu maana wamekuwa kimagharibi zaidi na hawajui mila zetu za jadi na mafundisho yake.Natumai utapita tena kuwafunda zaidi.

Hahahhahahahaaaa mama umenifurahisha sana. Eti wanaume wengi wa kizungu wakiona chachandu wanachanganyikiwa hahaahhaaa safi sana.

Mama Malaika said:

walio wengi wanao vaa hizi shanga wakati mwingine wanajisahau sana anavaa kitopu wakati ana mzigo kiunoni, so akija kuinama balaa, na shanga sio vazi la kuzurura nalo mtaani lina mahali pake lakini watu ndo wanaona vema tu muda wote kuwa nayo kiunoni.
Dada ziwepo 24hrs haijulikana saa za maombi yanapotakiwa....hii kujisahau mwenye macho haambiwi tizama hahaha!!!!

Asante sana RIZIKI. Ujue watu wengi wanashindwa elewa kuwa kukulia maisha ya kimagharibi haina maana kwamba nawe unakuwa m-magharibi na kutofata maadili ya kwenu. 

Halafu mdada anayevaa hivi siku moja anakuja kubakwa na mwanaume ambaye masikini alishindwa kujizuia baada ya kuona hizo shanga, hivi niambie RIZIKI kesi kama hii utamteteaje huyo binti aliyebakwa? Au ina maana mbakaji na mbakajwi wote ni wahalifu???? Kama alivyosema Agnes Nyakunga hapo juu kuwa mdada anavaa kitopu akiinama mzigo wote uko nje, si ndio mtego wenyewe huo.

riziki matitu said:

Nashukuru mama malaika kuweka msisitizo kwa kweli hata sisi waafrika tupo ambao vitu hivyo vinaturusha roho sana pindi tunapovishuhudia vikiwa mahala pake.Nafikiri dada yetu huyu atakuwa amepata funzo zuri kwa kweli na ajaribu kubadilika kuacha kuona kuwa uvaaji wa shanga ni ushamba au vinginevyo.

Pia kuna tabia ya warembo wetu kupenda kuvaa mikufu ya dhahabu au madini yoyote mengine viunoni na kusahau hizo shanga lkn nawahasa kuwa waangalifu sana kwani baadhi ya madini yanaweza waletea matatizo ktk viungo vyao tofauti na shanga ambazo hazina madhara yoyote.

Nakupongeza sana Mama malaika endelea kuwapa soma hao dada zetu maana wamekuwa kimagharibi zaidi na hawajui mila zetu za jadi na mafundisho yake.Natumai utapita tena kuwafunda zaidi.

Severin kumbe ulikuwa hujui? Na wao zinawachanganya akili wanapoona zimevaliwa na mwanamke wa mweusi wa kiafrika, hapo mzungu akili yote inamwishia na ujanja wake mfukoni. LOL....Severin said:

Hahahhahahahaaaa mama umenifurahisha sana. Eti wanaume wengi wa kizungu wakiona chachandu wanachanganyikiwa hahaahhaaa safi sana.

Mama Malaika said:

Bibi zetu na mama zetu wamevaa hizi shanga kwa karne nenda rudi na walikuwa wakizivaa huzioni wanaficha ndani ya mavazi/baibui na huwezi hata siku moja kuziona hadi siku hiyo (UNYAGO) unapokuwa pindi ndio wanakwambia na kukuonyesha jinsi ya kuzivaa. Siku hizi wasichana wanajiachia sana kila kitu nje nje hata thamani yake inashuka.

Walivyosema Riziki na Babengwa hawajakosea hata kidogo, shanga ni chachandu. Kuna wanaume wengi wazungu wakiwa na mwanamke chumbani amevaa shanga wanachanganyikiwa akili.

Reply to Discussion

RSS

© 2023   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*