Tulonge

Nini umuhimu wa mwanamke/msichana kuvaa shanga kiunoni?

Huwa nashangaa sana wanawake wanaovaa shanga kiunoni,nashindwa kuelewa kama ni urembo au ni nini.Na kama ni urembo kwa nini wanauficha na nguo juu?

Views: 13381

Reply to This

Replies to This Discussion

@Mama malaika mtu kama huyo akija kwangu cha kwanza ni kuangalia umri wake kama amevuka miaka 18 na mazingira ni kama hayo siwezi kumtetea kwani atakuwa amekubali mwenyewe(she consented) kwa kufanya Invitation to treat.Hivyo kwa kweli nitamtetea mwanaume aliyefanya kazi hiyo kwani mazingira ndiyo yamemshawishi baada ya kushawishiwa na huyo mdada.Kama ni under 18 mwanaume nitamtafutia ground za kupunguza adhabu lkn naye apate adhabu kwa kushindwa kujizuia matamanio kwa bint mdogo.
huu ni urembo kama urembo mwingine wowote ambao mwanamke huwa anahufanya ila ukiwa nao au usipokuwa nao  hauleti madhara yoyote kwa muuhusika.ni mambo ya watu wa pwani haayaa ,wenye kujua mahaba shanga zinaleta raha ya ajabu,eeebuuu watafute wakina mama wanaojua vitu hizi wakupe darasa kdg

Reply to Discussion

RSS

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*